May 28, 2022

Uhuru hauna Mipaka

UchaguzI TEF: Moto kuwaka

Spread the love
NEVILE Meena, Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa jukaa hilo. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea).

Katika nafasi hiyo ya uenyekiti wa TEF, Meena anakuwa mgombea wa pili kujitokeza akitanguliwa na Deodatus Balile, kaimu mwenyekiti wa jukaa hilo.

Meena ambaye kwa miaka 12, ameshikilia nafasi ya ukatibu wa jukwaa hilo, amechukua fomu hiyo leo tarehe 11 Mei 2021, katika Ofisi za TEF zilizopo Mtaa wa Mtendeni, jijini Dar es Salaam.

“Kwa muda wote huo nikiwa Katibu wa Jukwaa, nilikuwa natumwa maagizo ili nitekeleze, sasa nataka kwa mawazo yang una nichangie kuendesha jukwaa hili,” amesema Meena.

Fuatana na MwanaHalisi TV katika mahojiano yake na mgombea huyo…

error: Content is protected !!