August 13, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Trump: China inaibaka Marekani

Spread the love
DONALD Trump anayewania Urais kupitia chama chake cha Republican nchini Marekani amesema, China imekuwa ikibaka sera za kibiashara za Marekani kwa kuchezea sarafu yake (sarafu ya Marekani) hivyo kuongeza ushindani wa kibishara duniani, anaandika Wolfram Mwalongo.
Akizungumza kwenye mkutano wake wa kampeni Indiana amesema, China imekuwa ikifanya wizi wa sera za kibiashara na kwamba, hali hiyo imewaathiri wafanyakazi na  wafanyabiashara  wa taiafa hilo.
“Hatuwezi kuruhusu Uchina iendelee kuibaka nchi yetu, na hilo ndilo tunafanya (kwa wakati huu),” Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) limenukuu Trump.
error: Content is protected !!