
Naibu wa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezoi, Juma Nkamia
SERIKALI imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Machi 3, 2015) jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Juma Nkamia mbele ya viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB.
More Stories
Sopu aibuka kinara wa mabao ASFC
Mgunda atoa tahadhari kwa Mayele kesho
Majaliwa aipongeza Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu