Sunday , 5 February 2023
Home Gazeti Habari Mchanganyiko Rais Samia ashiriki mkutano wa uchumi nchini Uswisi
Habari Mchanganyiko

Rais Samia ashiriki mkutano wa uchumi nchini Uswisi

Spread the love

RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Januari, 2023 amehudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum), Davos, nchini Uswisi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na washiriki pamoja na viongozi mbalimbali wanaohudhuria Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswisi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dk. Abdallah Possi mara baada ya kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswisi tarehe 17 Januari, 2023.
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na washiriki pamoja na viongozi mbalimbali wanaohudhuria Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswisi tarehe 17 Januari, 2023.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoTangulizi

Haya hapa majina 12 ya familia moja waliofariki kwenye ajali Tanga

Spread the love  MAJINA 12 kati ya 17 ya waliofariki dunia katika...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia awalilia 17 waliofariki ajalini wakisafirisha maiti

Spread the love  RAIS Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa...

Habari Mchanganyiko

Wanawake wachimbaji wajenga zahanati kuokoa afya za wakazi 2000

Spread the love  ZAIDI wakazi 2,000 wa kijiji cha Nyamishiga Kata ya...

Habari Mchanganyiko

Baada ya Congo DR, Somalia mbioni kujiunga na EAC

Spread the love  TAIFA la Somalia liko mbioni kuwa mwanachama rasmi wa...

error: Content is protected !!