RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Picha zilizotolewa na Ikulu, leo Jumanne tarehe 4 Januari 2022, zimemwonesha Rais Samia akisalimiana na Mufti Zubeir.
Leave a comment