Wednesday , 24 April 2024
Home Gazeti Habari Rais Samia afanya uteuzi
Habari

Rais Samia afanya uteuzi

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
Spread the love

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Joseph Kazilwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Serikali za Mitaa Homboro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Taarifa iliyotolewa leo Jumapili, tarehe 24 Oktoba 2021 na Jaffar Haniu, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu imesema, uteuzi huo umeanza 21 Oktoba 2021.

Profesa Kazilwa, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, mkoani Morogoro.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

HabariSiasa

Dk. Rose Rwakatare atoa kadi 500 kila Wilaya Morogoro

Spread the loveMWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk...

ElimuHabari

CBE, WMA wasaini makubaliano wanafunzi kusoma wakifanyakazi

Spread the loveNAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya...

HabariTangulizi

Dk. Slaa, Mwabukusi kuhojiwa na jeshi la Polisi Mbeya

Spread the loveJESHI la Polisi jijini Mbeya, linawashikilia kwa mahojiano Dk. Wilbroad...

HabariHabari Mchanganyiko

Kairuki Hospital Green IVF  yawanoa madaktari kuhusu upandikizaji mimba

Spread the love KITUO cha Upandikizaji Mimba cha Kairuki Hospital Green IVF...

error: Content is protected !!