August 12, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Rais Magufuli ateua Makatibu Tawala

Spread the love

RAIS John Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu tawala wapya katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, anaandika Faki Sosi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu, Rais Magufuli ameteua makatibu tawala 10 wapya, wawili wamebadilishia mikoa na 13 wamebaki kwenye mikoa yao.

Makatibu tawala wapya

Rechard Kitega, Katibu Tawala, Mkoa wa Arusha

Selestine Gesimba, Katibu Tawala, Mkoa wa Geita

Armatus Msole, Katibu Tawala, Mkoa wa Kagera

Injinia Aisha Amour, Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro

Zuberi Samataba, Katibu Tawala Mkoa wa Pwani

Albert Msovela, Katibu Tawala Mkoa wa  Shinyanga

Dk. Angelina Lutambi, Katibu Tawala Mkoa wa Singida

Jumanne Sagini, Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu

Dk. Thea Ntara, Katibu Tawala Mkoa wa Tabora

Injinia Zena Said, Katibu Tawala Mkoa wa Tanga

Walibadilishiwa mikoa

Charles Pallangyo, amehamishwa kutoka Geita kwenda Kigoma

Dk. John Ndunguru amehamishwa kutoka Kigoma kwenda Morogoro

Makatibu tawala walibaki kwenye mikoa yao

Theresia Mbando, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam

Rehema Madenge, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma.

Wamoja Dickolagwe, Katibu Tawala Mkoa wa Iringa

Cp; Paul Chagonja, Katibu Tawala Mkoa wa Katavi

Benedict Ole Kuyani, Katibu Tawala Mkoa wa Mara

Ramadhani Kaswi, Katibu Tawala Mkoa wa Lindi

Eliakimu Maswi, Katibu Tawala Mkoa wa Manyara

Mariamu Mjunguja, Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya

Cp; Cloudwing Mteve, Katibu Tawala Mkoa wa  Mwanza

Jackoson Saitabau, Katibu Tawala Mkoa wa Njombe

Symthies Pangisa, Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa

Hassan Bandeyeko, Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma.

Makatibu tawala 10 walioteuliwa  kwa mara ya kwanza wataapishwa tarehe 27 Aprili Mwaka huu Ikulu Jijini Dar es Salaam.

error: Content is protected !!