July 25, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Rais Magufuli aishiwa pumzi Umeya Dar

Spread the love

HEKAHEKA zinazofanywa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kutaka Umeya wa Jiji hilo kwenda kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hazitafanikiwa,anaandika Faki Sosi.

Raia John Magufuli amesema kama chama chake (CCM) kitashindwa kwenye uchaguzi huo, haina budi kukubali matokeo.

Amesema hayo leo Ikulu jijini Dar es Salaam wakati Jeshi la Polisi likihakiki silaha zake mbili aina ya Shortgun na Pistol.

“Mahali tunapostahili kushinda kama tumeshinda tushinde kweli, lakini mahali tunaposhindwa napo tukubali kushindwa na hiyo ndio demokrasia ya kweli,” amesema Rais Magufuli.

error: Content is protected !!