RAIS John Magufuli aliondoka Ikulu jijini Dar es Salaam hadi ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lumumba bila kujulisha viongozi wake wakuu wa chama hicho, anaandika Josephat Isango.
Taarifa ndani ya chama hicho zinasema, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana, alimegewa ‘siri’ ya ujuo wa Magufuli kwenye ofisi hizo na mmoja wa wasaidizi wa rais.
Wengine ambao hawakuwa na taarifa ya ujuo huo, ni ….
Soma habari hii kwenye gazeti la MwanaHALISI la leo.
More Stories
RC Mgumba aeleza faida chuo cha uhamiaji kuwepo mkoani Tanga
Samia aagiza maofisa uhamiaji waliohusika ubadhirifu viza kushughulikiwa
Samia akemea wazazi wanaowapa watoto ulanzi