JITIHADA za kuua upinzani nchini sasa zinaonekana baada ya Prof. Ibrahim Lipumba kukubali kazi ya kubomoa Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Shaaban Matutu.
“Sikiliza, Lipumba hataki uenyekiti CUF,” ameeleza mbunge mmoja wa chama hicho na kuongeza “Lipumba anajua kama hastahili maana aliishatosa chama karibu sana na ushindi.”
Anasema, anachotaka Lipumba …….
Soma habari hii yote kwenye gazeti la MwanaHALISI la leo.
More Stories
Dk. Makakala: Chuo cha uhamiaji chachu maendeleo, usalama
RC Mgumba aeleza faida chuo cha uhamiaji kuwepo mkoani Tanga
Samia aagiza maofisa uhamiaji waliohusika ubadhirifu viza kushughulikiwa