Thursday , 25 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Polepole, Askofu Gwajima, Silaa kikaangoni CCM
Habari za Siasa

Polepole, Askofu Gwajima, Silaa kikaangoni CCM

Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Spread the love

 

KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) imewaitaka wabunge wake watatu kuwahoji kutokana na sababu tuhuma zinazowakabili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Wabunge hao ni, Humphrey Polepole wa kuteuliwa na Rais, Jerry Silaa wa Ukonga na Askofu Josephat Gwajima wa Kawe.

Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, tarehe 17 Desemba 2021 na kikao cha kamati kuu kilichokutana chini ya mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.

1 Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Prof. Muhongo akomalia matumizi nishati jadidifu kuondoa uhaba wa umeme

Spread the love  MBUNGE wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo, ameendelea...

Habari za Siasa

Kilosa yawa mfano wa kuigwa miradi ya Mwenge nchini

Spread the love  KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Godfrey Mzava amezitaka...

Habari za SiasaTangulizi

Biteko ataja vipaumbele 7 bajeti nishati 2024/25

Spread the love  NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Spread the loveKampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya...

error: Content is protected !!