Saturday , 2 December 2023
Home Kitengo Biashara Ongeza maokoto kwa kucheza sloti ya Wild Icy Fruits
Biashara

Ongeza maokoto kwa kucheza sloti ya Wild Icy Fruits

Spread the love

 

WILD Icy Fruits ni mchezo rahisi unaopatikana kwenye kasino ya mtandaoni, una michoro 5, safu 4 na mistari 40 ya malipo. Muonekano wa sehemu zilizoganda ukikinzana na milima iliyofunikwa kwa barafu, inakamilisha mandhari ya baridi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Matikiti na machungwa yanaongeza utamu wa sloti hii ya kasino ya mtandaoni, kengele za dhahabu na mgando wa lucky 7 unatoa malipo makubwa yanayowezekana kwa alama 5 zilizopo kwenye mstari mmoja.

Kwa mara nyingi, upekee wa michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kutoka Expanse unaonekana kwenye mchezo huu, ambao unakuja ukiwa na scatters na wilds.

Alama 5 za wilds kwenye mchanganyiko wa ushindi, utakuongezea mara 25 ya dau lako, wakati scatter 5 zikiangukia sehemu yeyote ya reels, itakuongezea mara 500 ya dau lako.

Uwanda wa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet haswa sloti hii ya Wild Icy Fruits, unawafaa wachezaji wa kila aina, inaanzia chini zaidi kwa sarafu 4 kwa mzunguko mmoja na kuongezeka mpaka koini 50 kwa kila mstari au 2.000 kwa mzunguko.

Sifa za kipekee zaidi kwenye mchezo

Pia miongoni mwa alama inayolipa zaidi mezani kwenye kasino ya mtandaoni haswa sloti hii ni alama ya Wilds, zitawasaidia wachezaji wakati wakiwa mchezoni kwa kuchukua nafasi ya alama zingine za kawaida. Kimsingi, haziwezi kuchukua nafasi ya scatters.

Kwa kuzingatia kwamba sloti ya Wild Icy Fruits haukupi mizunguko ya bure kama ilivyo kwa sloti na michezo mingine ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, chaguo la scatters hutoa malipo bila kujali nafasi zake kwenye mchezo. Lakini, Expanse Studios hawajatuandalia hayo tu!

Wakati unazungusha reels, kunauwezekano wa kushinda jakipoti 1 kati ya 3 zilizopo (Mini, Midi na Mega). Zawadi za jakipoti hazina muendelezo, inamaana kuwa hazitategemea hatua yako ya kucheza kasino ya mtandaoni.

 

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Shinda mtonyo mrefu ukicheza Shaolin Crew kasino ya  Meridianbet

Spread the love  TAIFA la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi...

Biashara

Kasino ya Lucky Sevens ni rahisi kucheza na kuibuka tajiri, fanya haya

Spread the love  NENO Kasino unapolisikia kwa mara ya kwanza unapata picha...

Biashara

Ujenzi waiva barabara ya Bigwa – Kisaki

Spread the loveWAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa mkandarasi atakayetekeleza ujenzi...

Biashara

Fanya haya kabla hujacheza kasino

Spread the love  UNAPOANZA kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa kirahisi usipate shida,...

error: Content is protected !!