February 26, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Nyumba ya Zitto Kabwe yateketea kwa moto

Spread the love

TAARIFA zilizotufikia muda huu ni kuwa nyumba ya Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe iliyopo  Mwandiga, Kigoma imeungua moto, anaandika Mwandishi wetu.

Taarifa hizo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya ACT Amani (Ulinzi na Usalama) Mohamed Babu na amesema kuwa hadi sasa Kamati hiyo  inafuatilia zaidi.

Taarifa zaidi zitawajia punde.

error: Content is protected !!