October 5, 2022

Uhuru hauna Mipaka

NMB, Jubilee wazindua kifurushi kipya cha afya

Spread the love

BENKI ya NMB Tanzania jana Ijumaa tarehe 10 Juni 2022 kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Jubilee Health wamezindua kifurushi kipya cha huduma za bima ' Pamoja Afya&#39. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea).

Mkuu wa Kitengo cha Bima wa Benki ya NMB, Martin Massawe (kushoto) na Meneja mahusiano wa Kampuni ya Bima ya Jubilee Health, Desta Mdoe wakizindua kifurushi hicho.

Huduma hiyo imezinduliwa jijini Dar es Salaam ambapo huduma bila kadi itatolewa kwenye Hospitali za Serikali na Hospitali zinazomilikiwa na taasisi za dini.

error: Content is protected !!