TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzani, imeweka wazi rufaa 55 zilizowasilishwa na wagombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Kati ya rufaa hizo, 15 wamerejeshwa kugombea ubunge. NEC imekataa rufaa 15 za wagombea ambao hawakuteuliwa na imekataa rufaa 25 za kupinga kuteuliwa.
Jana Jumanne, tarehe 8 Septemba 2020, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera aliweka wazi rufaa hizo na kusema, zingine zitaendelea kutolewa kadri watakavyokuwa wanamaliza kuzichambua.
Fuatilia muhtasari wote wa rufaa hizo 55 hapa chini;
Leave a comment