MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ameanza kutangaza matokeo ya urais kwenye maeneo ambayo uchaguzi umekamilika na kura kuhesabiwa. Anaandika Pendo Omary … (endelea).
Akitangaza leo asubuhi kutoka ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Lubuva amesema mpaka sasa tayari NEC ina matokeo ya majimbo matatu ambayo yamekamilika . Ameyataja majimbo hayo kuwa ni Lulindi la mkoani Mtwara, Makunduchi na Paje ya Unguja.
JIMBO LA LULINDI
WALIOJIANDIKISHA 50927
WALIOPIGA KURA 45844
KURA ZILIZOHARIBIKA 1507
Anna Mghwira (ACT) – 528
Chifu Yemba (ADC) – 362
John Magufuli (CCM) – 31603
Edward Lowassa (Chadema) – 11543
Hashim Rungwe (Chaumma) – 179
Janken Kasambara (NRA) – 43
Macmillan Lyimo (TLP) – 43
Fahme Dovutwa (UPDP) – 34
JIMBO LA MAKUNDUCHI
Anna Mghwira (ACT) – 22
Chifu Yemba (ADC) – 0.56
John Magufuli (CCM) – 8406
Edward Lowassa (Chadema) – 1769
Hashim Rungwe (Chaumma) – 68
Janken Kasambara (NRA) – 23
Macmillan Lyimo (TLP) – 18
Fahme Dovutwa (UPDP) – 18
JIMBO LA PAJE
WALIOJIANDIKISHA 10276
WALIOPIGA KURA 8326
Anna Mghwira (ACT) – 36
Chifu Yemba (ADC) – 21
John Magufuli (CCM) – 6035
Edward Lowassa (Chadema) – 1869
Hashim Rungwe (Chaumma) – 28
Janken Kasambara (NRA) – 8
Macmillan Lyimo (TLP) – 8
Fahme Dovutwa (UPDP) – 7
Tutaendelea kuwaletea matokeo mengine baada ya kutolewa na NEC.
More Stories
Uholanzi, Uturuki ‘waingia’ vitani
Kuvunjwa kwa Jiji la Dar giza nene latanda
Ukomo wa urais uheshimiwe