December 8, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Nchi 25 kushiriki Sabasaba

Kiwanja cha Maonyesho cha Sabasaba

Spread the love

MAANDALIZI ya Maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Sabasaba yamekamilika kwa asilimia 80 huku nchi 25 zikithibitisha kushiriki. Anaandika Jimmy Mfuru … (endelea).

Mkurugenzi wa Mamlaka na Maendeleo ya Biashara Tanzania, Tantrade Maleko amewataka wafanyabiashara kuendelea kukarabati mabanda hayo na baada ya Juni 28 hawataruhusiwa tena kuendelea na ukarabati.

“Maandalizi  ya maonyesho hayo yamekamilika kwa asilimia 80 na nchi 25 zimethibitisha kushiriki,  nawaomba wafanyabiashara kukarabati mabanda yao. Baada ya tarehe 28 hawataruhisiwa kuyakarabati tena,”amesema Maleko.

error: Content is protected !!