Friday , 29 March 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Naibu Skipa aonya wabunge nidhamu uchangiaji bajeti kuu
Habari za SiasaTangulizi

Naibu Skipa aonya wabunge nidhamu uchangiaji bajeti kuu

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azan Zungu
Spread the love

 

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu, ameonya wabunge wanaokiuka kanuni za utoaji taarifa bungeni na kwamba kufanya hivyo itakuwa ni kosa la utovu mkubwa wa nidhamu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Zungu ameyasema hayo leo tarehe 13 Juni 2022, bungeni jijini Dodoma mara baada ya kumalizika kipindi cha maswali na majibu.

Amesema kuelekea mjadala wa bajeti kuu Mbunge yeyote atakeshindwa kufuata kanunia ya kutoa taarifa atakuwa amefanya, “kosa la utovu mkubwa wa nidhamu ikiwa itapuuza maamuzi ya Spika au Mwenyekiti wa Bunge” kwa mujibu wa kanuni ya 84 (1) (a).

“Kuanzia mjadala wa bajeti kuu kakutakuwapo tena na taarifa za mchezo humu ndani na mmeona hivi karibuni wabunge wanalalamika mnaingilia flow zao za uchangiaji. Kwahiyo nawaomba mfuate mwongozo wa kiti kwani taarifa zimekuwa nyingi hazina maana bali za kupoteza muda na kumtoa mbunge kwenye reli,” amesema Zungu.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nani anasema kuna hasara ATCL?

Spread the loveRIPOTI za makusanyo na matumizi ya fedha katika Kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

CAG: Wastaafu, wenza wao chanzo NHIF kufilisika

Spread the loveRIPOTI ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...

Habari za SiasaTangulizi

Vikundi hewa 851 vyalamba bilioni 2.6 mikopo ya halmashauri

Spread the loveVIKUNDI hewa vya wajasirimali wadogo 851 kutoka katika halmashauri 19...

Habari za SiasaTangulizi

Mashirika matano yapata hasara mabilioni ya fedha

Spread the loveMASHIRIKA matano ya Serikali yanayojiendesha kibiashara, yamepata hasara ya mabilioni...

error: Content is protected !!