August 15, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mwambene ang’olewa Maelezo

Mkurugenzi wa Habari Maelezo, Assah Mwambene

Mkurugenzi wa Habari Maelezo, Assah Mwambene

Spread the love
ASSAH Mwambene, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo ameondolewa kwenye nafasi hiyo na kwamba, atapangiwa kazi nyingine, anaandika Faki Sosi.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Prof. Elisante Ole Gabriel, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo amemteua Zamaradi Kawawa kukaimu nafasi hiyo mpaka utapofanyika uteuzi mpya.
error: Content is protected !!