May 26, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mufti Zubeir: Eid El-Adh’aa Julai 21

Aboubakar Zubeir, Mufti wa Tanzania

Spread the love

 

MUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amesema, Sikukuu ya Eid El-Adh’haa itakuwa Jumatano ijayo tarehe 21 Julai 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika Msikiti wa Mtoro, jijini Dar es Salaam, kuanzia saa 1:30 asubuhi ambapo itakuwa mapumziko ya Kitaifa.

Mufti Zubeir amesema, Baraza la Eid litafanyika hapo hapo mara baada ya swala hiyo.

error: Content is protected !!