Thursday , 18 April 2024
Home Kitengo Habari Kimataifa Msumbiji kuchunguza tukio la kijana kufufuka
Kimataifa

Msumbiji kuchunguza tukio la kijana kufufuka

Spread the love

 

KIJANA mmoja Kaskazini mwa Msumbiji aliyesemekana kufariki Dunia anayefahamika kwa jina la Eurella Manuel Benjamin ameonekana kijijini kwao akiwa mzima Baada ya kufanyika kwa mazishi yake mwenzi Novemba 2021. Anaripoti Rhoda Kanuti, Kwa msaada wa BBC … (endelea).

Manuel Benjamin anasema kuwa , alikuwa akifanya kazi katika shamba la Mjomba wake kwa miezi michache.

Msimamizi wa eneo katika Wilaya ya Montepuez , alimwambia mtangazaji wa Serikakli kwamba sherehe za mazishi zilifanyika , siku ya tatu tukaenda kuangalia kaburi halijafukuliwa.

Aidha Kikosi cha Wataalamu kimetumwa Lindi kufanya Uchunguzi ili kuona ni nani au nini kilichozikwa .

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Kimataifa

Majaji kuamua hatima ya Zuma leo

Spread the loveMajaji nchini Afrika Kusini leo Jumanne wataamua ikiwa rais wa...

Habari za SiasaKimataifa

Spika Afrika Kusini ajiuzulu kwa tuhuma za rushwa

Spread the loveSpika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula ametangaza kujiuzulu...

Habari MchanganyikoKimataifa

Tetemeko la ardhi laua 7, lajeruhi 800 Taiwan

Spread the loveWatu wapatao saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 800...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Faye amteua aliyekuwa mfungwa mwenzie kuwa waziri mkuu

Spread the loveRais mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amemteua Ousmane Sonko...

error: Content is protected !!