January 23, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mshirika wa Zitto ataka ubunge Morogoro

Afande Sele akiwa jukwaani siku ya uzinduzi wa chama chake kipya cha ACT-Wazalendo

Spread the love

MWANAMUZIKI Suleiman Msindi, maarufu kama Afande Sele amesema, atajitosa katika kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Morogoro Mjini.

Ametoa kauli hiyo, mkoani Ruvuma katika ziara ya kukitangaza cha kipya cha ACT – Wazalendo; anataka kugombea ubunge katika jimbo hilo kwa sababu mbunge wake wa sasa, ameshindwa kuleta maendeleo. Mwandishi Wetu kutoka Songea anaripoti … (endelea).

Jimbo la Morogoro Mjini linashikiliwa na Aziz Aboud.

Aidha, Afande Sele amejigamba kuwa kama wananchi wa Morogoro watampa nafasi ya kuwa mbunge wa jimbo hilo, basi ataibua mambo mengi ambayo yalikuwa yamefichwa wa viongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

error: Content is protected !!