
Bernard Saanane, Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema
UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa masuala ya siasa wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe sasa unazidi kuongezeka. Wanaandika Waandishi Wetu …. (endelea).
“………….andishi la mkono lililoachwa kwenye lango la gazeti hili (MwanaHALISI) Mtaa wa Kasaba, Kinondoni, Dar es Salaam linasema “nyie jisumbueni tu. Huyu mtoto yupo na akitokea mtashangaa. Wala hatuoni anayetishia maisha….”
More Stories
Samia: Mwelekeo wa elimu yetu ni kuwapa vijana ujuzi
Manara, Hersi kizimbani TTF
Vipers wavuruga Siku ya Mwananchi, waitandika Yanga 2-0