
Rais wa TFF, Jamal Malinzi
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatarajiwa kufanya mkutano wake Mkuu wa Mwaka, mjini Morogoro kwenye Ukumbi wa Morogoro Hotel kati ya Machi 14 na 15.
Maandalizi ya mkutano huo yanaendelea vizuri na tayari TFF imetoa ajenda za mkutano huo.
Agenda za mkutano mkuu ni:
1.Kufungua Mkutano
2. Uhakiki wa Wajumbe
3. Kuthibitisha Ajenda.
4. Kuthibitisha Muhtsari wa Mkutano Mkuu uliopita.
5. Yatokanayo na Mkutano uliopita.
6. Hotuba ya Rais.
7. Ripoti kutoka kwa Wanachama
8. Kuthibitisha ripoti ya utekelezaji wa Kamati ya Utendaji.
9. Kuthibitisha ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu 2013.
10. Kuthibitisha ripoti ya Kamati ya Ukaguzi wa Hesabu.
11. Kupitisha bajeti ya 2015
12. Marekebisho ya Katiba
13. Mengineyo
14. Kufunga Mkutano.
More Stories
Injinia Hersi kuanza na uwanja Yanga
Sopu aibuka kinara wa mabao ASFC
Mgunda atoa tahadhari kwa Mayele kesho