LEO Alhamisi tarehe 12 Januari 2023, Zanzibar inaadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Matufuku. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).
Shughuli mbalimbali za kijamii zimefanyika ikiwemo za Wafanyakazi wa Benki ya NMB, Zanzibar pamoja na wafanyakazi wa Baraza la Udhibiti la Mifumo wa utoaji Leseni (BLRC) kushiriki kufanya usafi wa viwanja vya Maisara.
Meeeeengi yanasemwa kuhusu mapinduzi ya 1964. Sisikii chochote kuhusu nafasi ya chama cha UMMA PARTY katika mapinduzi hayo. Ni kweli chama hicho hakijahusika? Kama ni hivyo mbona miaka hiyo ya sitini viongozi wa UMMA pamoja na Afro Shirazi waliunda serikali ya Mapinduzi kwa pamoja? Wengi wao waliteuliwa kuwa mawaziri, mabalozi na ma DC na RC. Haya mbona yanafichwa? Ilikuwaje?