July 31, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Mdee, Kubenea, Mwita wawekwa kiporo

Spread the love

KESI ya shambulio na kumjeruhi Theresia Mmbando, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam inayowakabili Halima Mdee, Mbunge wa Kawe; Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo na Mwita Waitara, Mbunge wa Ukonga imeghirishwa, anaandika Faki Sosi.

Washitakiwa wengine kwenye kesi hiyo ni Shafii Juma, mfuasi wa Chadema; Manase Mjema, Diwani wa Kimanga pamoja na Alfonce Kinyafu, Diwani wa Kimara Saranga.

Helleni Liwa, Hakimu Mkazi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ameghairishwa kesi hiyo ,paka tena 2 Mei mwaka huu.

Mdee ,Waitara, Shafii na Kinyafu walifikishwa mahakamani hapo tarehe 2 Machi mwaka huu ambapo Kubenea na Mjema walifikiswa 11 Machi.

error: Content is protected !!