August 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mchora katuni Kenya amemsifu au kumponda Rais Magufuli

Katuni iliyochorwa na mchora katuni maarufu nchini Kenya, Gado juu ya ziara ya Magufuli nchini mwao

Spread the love

KATUNI hii imechorwa na Godfrey Mwapembwa, mchora Katuni wa Kenya. Ni mchoraji vibonzo mashuhuri Afrika Mashariki na anajulikana zaidi kwa jina la Gado. Katuni hii inayohusu ziara ya Rais John Magufuli nchini Kenya ameiweka katika ukurasa wake wa Twitter.

Je, unaitafsiri vipi? Tupe maoni yako hapo chini kwa jinsi ulivyoielewa katuni hii  

error: Content is protected !!