July 7, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Marekani ‘yachemsha’ Ugiriki

Spread the love

SERIKALI ya Marekani bado haijaweza kugundua nani ndiye mhusika mkuu wa shambulio lililotokea mapema wiki hii nchini Uturuki katika Mji Mkuu wa Ankara, shambulio hilo liliua watu 28.

Akilaani shambulio hilo la bomu lililotegwa kwenye gari, Ben Rhodes, Makamu Mkuu wa Usalama wa Marekani ambaye pia ni mshauri wa masuala ya usalama amesema kwamba, Marekani itazungumza moja kwa moja na Uturuki kuhusu masuala ya usalama ya nchi hiyo.

Viongozi nchi Uturuki wameishutumu Marekani kwa kukiunga mkono Chama cha Syria Kurdish na chama cha wafanyakazi wenye asili ya Kurdistan PKK.

error: Content is protected !!