October 18, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Makamu mkuu mstaafu UDSM afariki dunia

Spread the love

 

ALIYEKUWA Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, kati ya mwaka 1991-2006, Profesa Matthew Luhanga (73), amefariki dunia. Anaripoti Wiston Josia TUDARCo … (endelea). 

Profesa Luhanga amefariki dunia jana Alhamisi tarehe 16 Septemba 2021, jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa Habari na Mawasiliano wa UDSM, Dk. Dotto Kuhenga amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema, taratibu za mazishi zinaendelea.

Prof. Luhanga amefariki dunia akiwa na umuri wa miaka 73.

error: Content is protected !!