UAMUZI wa serikali kuzuia uuzaji au ukodishwaji wa klabu za Simba na Yanga kwa matajiri wawili maarufu nchini, umelinda maslahi ya nchi na kuepusha nchi kutotawalika, imefahamika, anaandika Mwandishi Wetu.
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya michezo na siasa aliye karibu na viongozi wakuu wa serikali, anasema kuwa kwa serikali kuzuia uuzwaji wa vilabu hivyo viwili vyenye mamilioni ya washabiki, imeepusha mgogoro mkubwa wa kisiasa.
Soma habari kamili katika Gazeti la MwanaHALISI la tarehe 17 Oktoba 2016
More Stories
Dk. Mpango atoa somo Wimbo wa Taifa
Ruto: Machifu, watumishi ‘waliotekwa’ upinzani warejee kazini
Shaka atumia kijiwe cha kahawa kueleza mwelekeo wa Samia