Saturday , 15 June 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Magufuli aongeza ukubwa wa Baraza la Mawaziri
Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aongeza ukubwa wa Baraza la Mawaziri

Rais John Magufuli akiwa kazini
Spread the love

RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, John Magufuli ametangaza baraza jipya la mawaziri lililoongezeka kutoka mawaziri 19 hadi 21 na manaibu 16 hadi 21, anaandika Faki Sosi.

Sasa idadi ya mawaziri itakuwa 42 tofauti na baraza la awali lililokuwa na jumla ya mawaziri na manaibu 34 ambapo kwenye baraza hilo, limeongeza sura mpya na kung’olewa baadhi ya mawaziri.

Akitangaza Baraza hilo leo Rais Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
1.Wizara ya Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora.
Waziri – George Huruma Mkuchika

2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira.

Waziri – January Makamba

Naibu Waziri – Kangi Lugola.

3. Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri – Jenista Mhagama.
Naibu Waziri – Anthony Peter Mavunde.
Naibu Waziri Walemavu – Stela Alex Ikupa

4. Wizara ya Kilimo
Waziri – Charles John Tizeba
Naibu Waziri – Mary Mwanjelwa

5. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Waziri – Makame Mbarawa
Naibu Waziri – Atashasta Nditiye
Naibu Wziri – Elias John Kwandikwa

6. Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri – Dk. Philip Mpango
Naibu Waziri – Dk. Ashantu Kijaji

7. Wizara ya Nishati
Waziri – Medard Kalemani
Naibu Waziri – Subira Mgalu

8. Wizara ya Madini
Waziri – Angela Kairuki
Naibu Waziri – Haroon Nyongo

9. Wizara ya Katiba na Sheria
Waziri – Palamagamba Kabudi

10. Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri – Agustine Mahiga
Naibu Waziri – Dk. Suzan Kolimba

11. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Dk. Hussein Mwinyi

12. Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri – Hamad Masauni

13. Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Waziri – William Lukuvi
Naibu Waziri – Angelina Mabula

14. Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri – Dk. Hamisi Kigwangala
Naibu Waziri – Ngailonga Josephat

15. Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Waziri – Charles Mwijage
Naibu Waziri – Stella Manyanya

16. Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi
Waziri – Prof. Joyce Ndalichako
Naibu Waziri – William Ole Nasha

17. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Waziri – Ummy Mwalimu
Naibu Waziri – Faustine Ndugulile

18. Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo.
Waziri – Dk. Harrison Mwakyembe
Naibu Waziri – Juliana Shonza

19. Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Isack Kamwelwe
Naibu Waziri – Juma Hamidu Aweso

20. Mifugo na Uvuvi
Waziri – Luhaga Mpina
Naibu Waziri – Abdallah Ulega

21. Wizara ya TAMISEMI
Waziri – Selemani Jafo.

Rais Magufuli pia amefanya mabadiliko ya uongozi wa Bunge ambapo Dk. Thomas Kashililah ameondolewa na nafasi yake kujazwa na Steven Kigaigai.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia amng’oa Matinyi Serikalini, ateua viongozi mbalimbali

Spread the loveRais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwamo...

BiasharaHabari za Siasa

Tanesco yawasha mtambo namba 8 Bwawa Julius Nyerere

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Samia: Wakuu wa mikoa, wilaya wanaendeleza ubabe

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan amesema bado wakuu wa wilaya na...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Ramaphosa achaguliwa tena kuwa rais Afrika Kusini

Spread the loveRais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amechaguliwa na wabunge wa...

error: Content is protected !!