July 7, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Lowassa amtingisha JK

Spread the love

NI Lowassa kina kona. Kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, sherehe za harusi, msiba, usafiri wa daladala, meli na ndege, jina la Edwad Lowassa, mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ndilo linalotawala. Anaandika Saed Kubenea … (endelea).

Taarifa kutoka mikoa mbalimbali nchini zinasema, tayari Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kupata kiwewe baada ya kuona uungwaji mkono wa Lowassa umekuwa mkubwa miongoni mwa wananchi na wanachama wa chama hicho.

“…haata katika mikutano ya chama chetu (CCM), jina la Lowassa ndilo linalotawala. Viongozi na wanachama wetu, wamekuwa wakimtangaza Lowassa kuliko mgombea wetu Magufuli” (John Pombe Magufuli), ameeleza kiongozi mmoja wa chama hicho, mkoani Singida.

Katika mkutano

MwanaHALISI Online limeelezwa kuwa katika moja ya sherehe za harusi ziliyofanyika jijini Dar es Salaam na ambayo ilihudhuriwa na watu wengo, Lowassa aligeuka gumzo.

Hii ilikuwa muda mfupi baada ya mshereheshaji kudai kuwa sherehe hiyo kwake ni “kama mafuriko.”

error: Content is protected !!