February 26, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Lissu amnasua Wema Sepetu mahakamani

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema akifurahia jambo na Wema Sepetu

Spread the love

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa vielelezo vya ushahidi vya msokoto wa bangi katika kesi ya matumizi madawa ya kulevya inayomkabili muugizaji wa filamu nchini, anaandika Faki Sosi.

Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Thomas Simba leo ametoa uamuzi huo kutokana na pingamizi la kielelezo cha msokoto wa bangi lilowekwa na wakili wa Wema, Tundu Lissu kilicholetwa mahakamani hapo.

Lissu alipinga kuwa msokoto huo uliofikishwa mahakamani hapo una mashaka na kwamba siyo bangi.
Kesi hii itaendelea Septemba 12 mwaka huu.

error: Content is protected !!