Saturday , 22 June 2024
Home Kitengo Michezo Kwapua vibunda na mechi za Ligi ya Mabingwa leo hii
Michezo

Kwapua vibunda na mechi za Ligi ya Mabingwa leo hii

Spread the love

 

LIGI ya Mabingwa Ulaya imerudi ambapo itapigwa leo hii na kesho, hivyo nafasi ya wewe kukwapua vibunda ipo wazi sana ambapo kwa dau lako dogo unaweza kutimiza ndoto zako ambazo ulikuwa unaziwaza kwa muda mrefu sana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Ladha ya soka itakuwa pale  Signal Iduna Park kwenye mechi ya Borussia Dortmund dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe. Mara ya kwanza walipokutana BVB alishinda. Ikumbukwe kuwa hawa wote wana pointi 4. Je leo hii nani kufikisha pointi 7? Tengeneza jamvi lako hapa sasa.

Saa 5:00 vijana wa Maurizio Sarri Lazio Rome baada ya kupoteza mchezo wao uliopita, leo watarudiana tena dhidi ya Feyenoord Rotterdam. Timu hiyo kutoka Italia imepewa ODDS 2.50 kwa 2.69. Mgeni ndiye kinara wa kundi E akiwa na pointi 6. Je Sarri na vijan awake watafanya nini nyumbani?

Nao vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid watakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Celtic ambao wana pointi moja pekee ambao waliipata walipokutana mchezo uliopita. Atletico wamepewa ODDS ya 1.27 kwa 9.80. Je nani kuibuka mbabe leo hii?

FK Crvena Zvezda Belgrade watakuwa wenyeji wa RB Leipzig ambao wapo nafasi ya pili kwenye kundi. Mechi ya kwanza walipokutana mwenyeji alipasuka akiwa ugenini. Leo yupo nyumbani akipewa ODDS 5.68 kwa 1.54. Ingia meridianbet na ubashiri mechi hii sasa.

Lakini pia usisahau kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni ndani ya Meridianbet kam avile, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Keno, Piggy Party na mingine kibao uweze kujikusanyia maokoto ya kutosha. Ingia www.meridianbet.co.tz.

FC Shakhtar Donetsk watakuwa nyumbani katika dimba la Volksparkstadion hii leo kukiwasha dhidi ya FC Barcelona ambaye ndiye kinara wa kundi hilo. Xavi na vijana wake wana pointi 9 huku mwenyeji akiwa nafasi ya tatu na pointi 1 akishinda mechi moja, na kupoteza mara mbili. Mechi iliyopita walipokutana Barca alishinda. Je Novatus na timu yake watafanya nini? Beti mechi hii sasa.

Wakati majira ya saa 5:00 usiku, FC Porto baada ya kumbamiza vibaya Royal Antwerp mechi iliyopita, leo hii atamleta nyumbani kwenye mechi ya marudiano kusaka pointi zingine tatu. Mwenyeji yupo nafasi ya pili huku mgeni wake akiwa kibonde wa kundi hilo. 1.33 ndiyo ODDS ya mwenyeji kushinda kwa 8.62. Nani kuibuka mbabe leo?

Baada ya kutoka huku sasa tupae hadi kule Italia katika dimba la San Siro ambapo AC Milan atakuwa mwenyeji wa PSG. Milan yupo nafasi ya mwisho akiwa hajashinda mechi yoyote hadi sasa akitoa sare mbili pekee, wakati Enrique na vijana wake wakiwa na pointi 6. Pioli kapewa ODDS 2.84 kwa 2.35. Huku Mbappe, huku Giroud nani kubeba jahazi lao leo?

Mechi hizi za ligi ya mabingwa zitaendelea hapo kesho kwa michezo mengi na yenye pesa nzuri pale Meridianbet.

Mechi ya mapema kabisa itapiwa majira ya saa 2:45 usiku ambapo Real Sociedad atakipiga dhidi ya Benfica Lisbon mwenye ODDS 4.60 akiwa hana pointi yoyote mpaka sasa. Walipokutana mechi iliyopita mwenyeji alishinda mechi hiyo. Leo hii nani ni nani? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000.

Wakati mida ya saa 5:00 Manchester United ambao walipata ushindi wao mechi iliyopita watakuwa ugenini dhidi ya FC Copenhagen ambao wana pointi moja pekee. Ten Hag na vijana wake kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.76 kwa 4.41. Je Mashetani Wekundu wataibuka na ushindi ugenini? Suka mkeka wako hapa sasa.

Vijana wa Mikel Arteta Arsenal ambao wana pointi zao 6 watakuwa wenyeji watamkaribisha Sevilla kutoka Hispania huku wakipewa ODDS 9.01. The Gunners wanahitaji pointi tatu kujikita kileleni. Mechi hii ina machaguo mengi pale Meridianbet.

FC Salzburg atakuwa mwenyeji wa Inter Milano ya Simone Inzaghi ambao wana pointi zao 7 sawa na kinara wa kundi hilo. Mwenyeji ana ODDS 5.48 kwa 1.57. Mechi yao ya kwanza walipokutana, Inter aliondoka na ushindi. Je leo hii nani kuondoka na ubabe?

Nao vinara wa kundi A FC Bayern Munich wakiwa na pointi zao 9 watakuwa pale Allianz Arena kukiwasha dhidi ya Galatasaray Instanbul ya Uturuki ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 11.76. Wakati mwenyeji akipewa 1.19. Wewe beti yako unaipeleka wapi?

Real Madrid ya Ancellotti waoa watamenyana na SC Braga ambao walipokutana mara ya kwanza, Real walishinda na bado mpaka sasa wapo kileleni wakiwa na pointi zao 9. Wakati mgeni wao yupo nafasi ya 3 na pointi zake 3. Mechi hii ina ODDS 1.22 kwa 10.78. Bashiri sasa mechi hii pia.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Ukiwa na Meridianbet ni kula pesa tu

Spread the love  Alhamisi ya leo mechi za EURO zinazidi kuendelea huku...

Michezo

Leo pesa utaipatia kwa Ureno na Uturuki ukiwa na Meridianbet

Spread the love  Kama kawaida michuano ya EURO 2024 inazidi kupamba moto...

Michezo

Leo Uingereza, Uholanzi zote kukupa pesa

Spread the love Siku ya leo EURO 2024 kupigwa katika viwanja mbalimbali,...

Michezo

Jumamosi ya leo ni ya pesa na EURO hapa Meridianbet

Spread the love  Baada ya jana kushuhudia mechi kali ya ufunguzi wa...

error: Content is protected !!