February 27, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Kubenea kuitikisa nchi leo

Saed Kubenea

Spread the love

MBUNGE wa Ubungo na Mkurugenzi Mtendaji wa MwanaHALISI, Saed Kubenea, leo Jumatatu, tarehe 30 Julai, saa sita mchana, atakuwa na mkutano na waandishi wa habari, utakaofanyika ofisi za MwanaHALISI, Kinondoni, mtaa wa Kasaba.

Atazungumzia mambo mbalimbali yenye mustakabali kwa taifa.

error: Content is protected !!