October 22, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Kigogo Ikulu ashitakiwa kwa Kinana

Aliyekuwa Katibu wa CCM, Abrahaman Kinana

Spread the love

MBUNGE wa Tabora Kaskazini (CCM), Sumar Shaffin Ahmedali, amewasilisha malalamiko kwa katibu mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, kuchafuliwa katika jibo lake.

Sumari anamtuhumu Almasi Athumani Maige, kuanza kampeni kabla ya wakati na kinyume cha taratibu.

Almasi anayeaminika kuwa ni mtu wa karibu sana na Shabani Gurumo na Bernard Membe.

Katika barua yake kwa Kinana, Sumari anasema, “…ni jambo linalonishangaza kuona huyu anayejiita kada, kuendelea kutoa misaada ya hali na mali katika jimbo hili.”

Anasema, Maige anajitokeza kutembea  na kutoa misaada katika jimbo hilo, wakati wilaya ya Uyui, ina majimbo mawili ya uchaguzi.

Habari kamili, soma MwanaHALISI Online Jumatano wiki hii.

error: Content is protected !!