Thursday , 28 March 2024
Home Kitengo Maisha Burudika Kibao kipya cha Mr Eazi; Personal Baby
Burudika

Kibao kipya cha Mr Eazi; Personal Baby

Spread the love

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr Eazi ameachia ngoma yake mpya, Personal Baby ambayo ni ya pili kuachiwa kutoka katika albamu yake mpya ambayo bado hajaiachia. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Wimbo huo umetengenezwa na  Prodyuza Kel P ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa amewahi kufanya kazi na mastaa wakubwa nchini humo kama Burna Boy, Wizkid na Angelique Kidjo.

Kwa upande wa video, amesimama dairekta maarufu, Ademola Falomo ambaye amefanya kazi kubwa ya kuhakikisha vionjo vya muziki wa asili wa Banku alivyoviweka Mr Eazi katika wimbo huo, vinaendana na video huzika.

Kwa upande wa uandishi, Mr Eazi ameshirikiana kuandika na msanii mwenzake, Teni ambapo mashairi yake yanazungumzia zaidi mapenzi, ukiwa ni wimbo wa pili baada ya Legalize.

Legalize unaendelea kufanya vizuri kutoka kwa msanii huyo na unaweza kuisikiliza au kuitazama kwenye majukwaa yote kwa kubofya Personal Baby. https://empawaafrica.lnk.to/MrEaziPersonalBaby

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BurudikaHabari za Siasa

Samia amchangia Professa Jay mil. 50, Chadema, wasanii wamwaga manoti

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh 50 milioni...

Burudika

Piga makofi kwa Mr. Eazi …achomoka na ‘The Evil Genius’

Spread the loveMAKOFI kwa Mr Eazi! Staa wa Afropop, Mr Eazi ameachia...

Burudika

Kishindo cha Afro B katika “Wo wo wo” akiwa na Rich the Kid&Rimzee

Spread the loveSTAA ambaye alitambulishwa na ngoma maarufu, Afrowave ‘Drogba’, Afro B,...

Burudika

Mr. Eazi aachia Advice ikiwa ni ujio wa albam mpya

Spread the loveSTAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr.Eazi ni gwiji linapokuja suala...

error: Content is protected !!