
Rais John Magufuli, Rais wa Tanzania (kulia) akizungumza na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete
SERIKALI ya Rais John Magufuli imelaumiwa kwa kukiuka misingi ya msimamo wa nchi kuhusu mataifa ya Morocco na Israel, anaandika Shaban Matutu.
Hii inatokana na uamuzi wa serikali wa kutaka kufungua balozi zake katika nchi hizo ambazo Tanzania ilikuwa ikilaani kwa miaka mingi wakati wa uongozi wa Mwalimu Julius Nyerere.
Kwa habari zaidi soma Gazeti la MwanaHALISI la leo tarehe 05 Desemba 2016.
More Stories
Dk. Mwigulu, Bashungwa wawekwa kikaangoni
Samia azindua mradi wa maji wa Sh. bilioni 2.8
Samia kuhusu bei ya mafuta: Ni tatizo la dunia nzima