July 6, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Jovago yatoa punguzo la sikukuu ya Eid

Hoteli ya Green Light hotel iliyopo jijini Dar es Salaam, ambayo ni moja ya hoteli zitakazokuwa na punguzo

Spread the love

KAMPUNI ya Jovago Tanzania Ltd, imejipanga kutoa ofa ya sikukuu ya Eid El Fitr kwa waislamu wote nchini kwa kuwapa punguzo la bei za hoteli za kitalii nchini kote ili kuwapa nafuu kwa watakaotaka kutoka na familia zao.

Waislamu dunia kote wanatarajia kusheherekea siku kuu hii ya Eid El Fitr ikiwa ni kuhitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Pamoja na malengo ya kidini ya sikukuu hiyo lakini baadhi ya watu hupenda kusheherekea kwa namna tofauti, kwa kutembelea sehemu za kitalii, ndani na nje ya nchi.

Kampuni ya JovagoTanzania, inapendelea kutoa muongozo kwa baadhi ya sehemu muhimu hapa Tanzania ambazo unaweza kupata punguzo la bei za mahotelini mpaka 53% kwenye mtandao wa www.jovago.com.

Zifuatazo ni badhi ya hoteli ambazo zina punguzo zilizopo sehemu mbalimbali:-

ZANZIBAR

Hoteli zilizokuwa na punguzo kutoka kwa Jovago Tanzania ni Mashariki Palace hotel yenye punguzo la 35% na Park Hyatt itakayokuwa na punguzo la 50%.

ARUSHA

Hoteli zilizokuwa na punguzo kutoka kwa Jovago Tanzania ni hoteli ya The New Arusha yenye punguzo la 50%

MWANZA

Hoteli zilizokuwa na punguzo kutoka kwa Jovago Tanzania ni New Mwanza Hotel itayokuwa na punguzo la bei mpaka 53%.

DAR ES SALAAM

Hoteli zilizokuwa na punguzo kutoka kwa Jovago Tanzania ni hoteli ya Green Light hotel itakayokuwa na punguzo la 53%.

error: Content is protected !!