Friday , 19 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Dk. Mwinyi ashuhudia utiaji saini makubaliano ujenzi Uwanja wa ndege Pemba
Habari Mchanganyiko

Dk. Mwinyi ashuhudia utiaji saini makubaliano ujenzi Uwanja wa ndege Pemba

Spread the love

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi leo Jumatano tarehe 4, Januari,  2023, ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pemba.

Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi na Uongozi wa Kampuni ya Propav kutoka Brazil, pamoja na Mecco ya Tanzania, pia  Ujenzi wa barabara za Chake-Mkoani Pemba, Unguja- Tunguu-Makunduchi na Fumba-Kisauni. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Halfa hiyo imefanyika Ikulu na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wa Serikali,Chama ,wa dini na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika

Spread the loveUbunifu wa bidhaa bora wa Benki ya NMB pamoja na...

Habari Mchanganyiko

Carbon First, Ruangwa wasaini makubaliano ya biashara ya hewa ukaa

Spread the love  KAMPUNI ya Carbon First Tanzania Limited na Halmashauri ya...

Habari Mchanganyiko

CBE yawakumbuka wenye mahitaji maalum Jangwani

Spread the loveCHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimetoa msaada mbalimbali na...

Habari Mchanganyiko

Mume auwa mke kwa kumchoma visu, ajisalimisha Polisi

Spread the loveJACKSON Kalamji (49), anashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza,...

error: Content is protected !!