Saturday , 2 December 2023
Home Kitengo Biashara Cheza Veni Vidi Vici Meridianbet ushinde mara 1000
Biashara

Cheza Veni Vidi Vici Meridianbet ushinde mara 1000

Spread the love

FURAHIA sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezeaRoma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Veni Vidi Vici! Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kama wewe ni moja ya wapenda hadithi za kale basi Veni Vidi Vici inakufaa, Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na mtoa huduma Expanse Studios wametambulishasloti mpya inayokupa ushindi mkubwa mpaka mara 1000 ya dau lako.

Ushawishi wa hadithi za Kirumi pia unatambuliwa kwa jina la sloti, lakini mcehzo huu una kitu gani kipya?

Sloti ya Veni Vidi Vici ina Kolamu ambayo inakupa taji la mvinyo, ngao na upanga, mikokoteni, askari wachache, wakati alama ya msingi ya mchezo ni Caesar mwenyewe.

Kadi mbili za porini (Wild) zinakuongoza kwenye mzunguko wa bonasi kutoka Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, wakati kadi tatu au zaidi za porini (Wild) zinaamsha Bonasi ya Sloti ya Veni Vidi Vidi.

Kuna msemo mmoja mkubwa wa Gaius Julius Caesar husemakete imetupwa na katika kasino ya mtandaoni mchezo wa Veni Vidi Vici, Caesar huzungusha kete! Aina hii ya bonasi inakuja katika ngazi tatu, na ya tatu inaweza kukuletea ushindi mpaka mara 1,000 zaidi!

Sloti hii ina bonasi ya ubashiri ambayo inaweza kuongeza kila ushindi mara mbili, pamoja na jackpots tatu zinazoendelea: Mini, Midi na Mega.

Sifa kuu ya sloti hii ni chaguo la BONUS NUNUA (Bonus Buy option), ambalo unaweza kuwezesha Bonasi ya Veni Vidi Vici, na RTP nzuri ya 96.28%!

Dhibiti Ufalme/ Kasri ya Roma na upate mafanikio makubwa! Aidha, usisite kucheza michezo mingine ya kasino ndani ya Meridianbet upate kuibuka bingwa leo hii.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

Shinda mtonyo mrefu ukicheza Shaolin Crew kasino ya  Meridianbet

Spread the love  TAIFA la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi...

Biashara

Kasino ya Lucky Sevens ni rahisi kucheza na kuibuka tajiri, fanya haya

Spread the love  NENO Kasino unapolisikia kwa mara ya kwanza unapata picha...

Biashara

Ujenzi waiva barabara ya Bigwa – Kisaki

Spread the loveWAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa mkandarasi atakayetekeleza ujenzi...

Biashara

Fanya haya kabla hujacheza kasino

Spread the love  UNAPOANZA kufikiria jinsi ya kutengeneza pesa kirahisi usipate shida,...

error: Content is protected !!