Michezo
MLINZI wa kulia wa timu ya JKT Tanzania, Michael Aidan ameifungia bao timu hiyo dhidi ya Yanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)...
By Mwandishi WetuJune 17, 2020BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Werder Bremen kwenye Ligi Kuu nchini Ujerumani, Bundesliga, na Bayern Munich na kutangaza...
By Kelvin MwaipunguJune 17, 2020BAADA ya kusimama kwa takriban miezi mitatu, hatimaye Ligi Kuu nchini England kurejea kesho kwa michezo miwili ambapo klabu ya Manchester City itaikalibisha...
By Kelvin MwaipunguJune 16, 2020SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeruhusu kuendelea kwa michezo ya kirafiki kwa klabu kwenye ngazi husika kwa kibali maalumu, ili kuhakikisha...
By Kelvin MwaipunguJune 9, 2020‘VITA’ ya fedha inakwenda kutikisha msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara (2020/21). Ni baada ya vilabu vikubwa viwili nchini – Klabu Simba...
By Kelvin MwaipunguJune 9, 2020SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania ‘TFF’, limepiga marufuku michezo yote ya kirafiki kwa klabu zote nchini mpaka pale itakapotoa kibali maalumu kutokana...
By Kelvin MwaipunguJune 8, 2020KLABU ya Simba leo imeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kujipima nguvu kuelekea kuendelea na michezo...
By Kelvin MwaipunguJune 8, 2020MAHAKAMA ya Mkoa wa Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja mwamuzi wa mpira wa miguu, Safiel Mjema baada ya kumtia hatiani kwa kosa...
By Regina MkondeJune 6, 2020KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi yake kwenye viwanja vya chuo cha Sheria, Jijini Dar es Salaam katika hatua ya kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJune 5, 2020MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo leo ametangaza ratiba ya michezo iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi daraja la...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2020MSEMAJI wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amesema kutokana na maoni mbalimbali serikali imeridhia mashabiki watakaotaka kwenda viwanjani kutazama mechi mara tu baada ya...
By Hamisi MgutaMay 31, 2020KUFUATIA kauli ya serikali kuruhusu shughuli za michezo kuendelea nchini iliyotolewa na Rais Magufuli, jijini Dodoma, 21 mei, 2020, Wizara ya Afya kushirikiana...
By Kelvin MwaipunguMay 29, 2020BIGWA wa Mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba itaikalibisha Azam FC kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho la Azam,...
By Kelvin MwaipunguMay 29, 2020MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo ametangaza tarehe ya kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ambayo ni Juni 13,...
By Kelvin MwaipunguMay 28, 2020SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu humo kuanzia Juni 5, 2020 baada ya kufanikiwa kukabiliana kwa kiasi...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020LIGI Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’ kuendelea tena leo ambapo Borrusia Dortmund itawakaribisha klabu ya FC Bayern Munichen kwenye dimba la Signal Iduna Park...
By Kelvin MwaipunguMay 26, 2020JESHI la Polisi nchini Tanzania, limeeleza sababu za kuendelea kumshikilia Idris Sultani, Msanii wa Vichekesho Tanzania, anayesota rumande kwa muda wa siku tano,...
By Regina MkondeMay 23, 2020SERIKALI ya Hispania kupitia Waziri Mkuu wake Pedro Sanchez, ametangaza kuwa Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ itarejea tena Juni 8, 2020 baada ya...
By Kelvin MwaipunguMay 23, 2020IDRIS Sultani, Msanii wa vichekesho nchini Tanzania, anaendelea kusota rumande, katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar es Salaam, kwa kosa la...
By Regina MkondeMay 23, 2020BAADA Rais wa Tanzania, John Magufuli kuruhusu shughuli za michezo kuendelea kuanzia Juni Mosi, 2020, Waziri wa Habari, Sanaa, utamaduni na Michezo, Dk....
By Mwandishi WetuMay 22, 2020IDRIS Sultani, Msanii wa Vichekesho nchini Tanzania, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2020, anaweza kufikishwa mahakamani, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais...
By Masalu ErastoMay 22, 2020TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba (SSC) wamekabidhi vituo vya kuosha mikono, sabuni pamoja...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kufunguliwa kwa vyuo vyote nchini, michezo ya aina yote pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita kuanzia...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020WACHEZAJI wa klabu ya Watford England wamegoma kuanza mazoezi siku ya jana kutokana na maofisa wao wawili na mchezaji mmoja kukutwa na maambukizi...
By Kelvin MwaipunguMay 20, 2020MWENYEKITI wa Yanga, Dk. Mshindo Msolwa leo amezindua kampeni ya kuelekea mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji ambayo yatakuwa chini ya kamati ndogo ya...
By Kelvin MwaipunguMay 19, 2020KAMISHNA wa Magereza Tanzania, Jenerali Suleiman Mzee ameikabishi klabu ya Tanzania Prisons basi dogo aina ya Toyota Coaster itakayotumika na timu hiyo katika...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2020BAADHI ya nyota ya Manchester United jana walionekana kurejea kwenye eneo la viwanja vya mazoezi vya klabu hiyo (Carrinton) kwa ajili ya kufanya...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2020BAADA ya kusimama kwa muda wa mwezi mmoja na nusu kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid 19, hatimaye Ligi Kuu ya soka...
By Kelvin MwaipunguMay 16, 2020KAKA tuchati. Linaweza lisiwe neno geni masikioni mwako hasa katika kipindi hiki kifupi ambapo wasanii wa muziki nchini Tanzania, Roma na Stamina wameachia...
By Mwandishi WetuMay 16, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imesema inalichunguza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kuhusu matumizi mabaya ya fedha,...
By Kelvin MwaipunguMay 15, 2020KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ( TFF), Wilfred Kidao ametoa ufafanuzi juu ya matumizi ya fedha kutoka Shirikisho la...
By Kelvin MwaipunguMay 14, 2020PAMOJA na Serikali Uingereza kutoa taarifa kuwa kuna uwezekano michezo ikarejea Juni Mosi, 2020 lakini baadhi ya wachezaji wa klabu za Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguMay 12, 2020SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sambamba na Bodi ya Ligi imesema kuwa hatma ya kurejea kwa Ligi Kuu Tanzania Bara sambamba...
By Kelvin MwaipunguMay 5, 2020WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM wametenga kiasi cha Sh. 200 milioni kama motisha kwa wachezaji endapo watafanikiwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguMarch 5, 2020UONGOZI wa klabu ya Simba umetoa taarifa ya kusikitishwa kwao na tuhuma za madai ya rushwa zilizotolewa na mchezaji wa klabu ya Yanga,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 28, 2020MWENYEKITI wa Yanga. Dk. Mshindo Msola ameitisha mkutano mkuu wa dharura kwa wanachama wa klabu hiyo unaotarajia kufanyika tarehe 16 Februari, 2020, katika...
By Kelvin MwaipunguJanuary 28, 2020NI majonzi. Ni simamizi. Ni vilio kote duniani, kufuatia kifo cha ghafla cha nyota wa mpira wa kipaku nchini Marekani, Kobe Bryant. Mwanamichezo...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2020DROO ya hatua ya 32 na 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA CUP) imechezeshwa leo ambapo vigogo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguJanuary 10, 2020UONGOZI wa Yanga leo umemtangaza, Luc Eymael, Raia wa Ubelgiji kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na moja kwa moja atajiunga na kambi...
By Kelvin MwaipunguJanuary 9, 2020SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) leo linatarajia kutoa tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika 2019, katika hafla inayotarajia kufanyika leo mjini...
By Kelvin MwaipunguJanuary 7, 2020Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) sambamba na bodi ya ligi wamekamilisha maandalizi yote kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakao...
By Kelvin MwaipunguJanuary 2, 2020SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF$, leo imengia makubariano na Shirika la Maendeleo nchini Korea (KIDC) kwa ajili ya maendeleo ya mpira...
By Kelvin MwaipunguDecember 23, 2019KLABU ya Yanga imemlilia aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee wa klabu ya Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, aliyefariki dunia alfajiri ya leo tarehe...
By Kelvin MwaipunguDecember 14, 2019MOHAMMED Dewji ‘Mo’ Mwekezaji wa klabu ya Simba, ameweka wazi kuwa klabu hiyo haitamvumilia mchezaji yeyote atakayeihujumu timu hiyo. Anaripoti Faki Sosi …(endelea)....
By Faki SosiDecember 8, 2019KOCHA wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji amethibitisha kuvunjwa kwa mkataba wake na klabu hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Baada ya...
By Masalu ErastoNovember 30, 2019WAPENZI wa mchezo wa ngumi nchini watepata fulsa ya kushuhudia mpambano wa kimataifa utakaowakutanisha Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya mpinzani wake...
By Kelvin MwaipunguNovember 25, 2019UONGOZI wa klabu ya Yanga amesema uuzaji wa jezi feki ni moja ya kitu kinachowapa Yanga unyonge kutokana na kukosa mapato na kunufaika...
By Kelvin MwaipunguNovember 21, 2019BODI ya Wakurugenzi ya Simba, imemteua Mwina Kaduguda kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa klabu akichukua nafasi iliyoachwa na Swed Nkwabi aliyejiuzuru wakati wakisubiri...
By Kelvin MwaipunguNovember 20, 2019KAMATI ya Utendaji ya Klabu ya Yanga, imeivunja Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa...
By Mwandishi WetuNovember 7, 2019MWINYI Zahera, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, ametoa hadharani siku moja baada ya kufutwa kazi katika klabu hiyo, na kudai kuwa Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 6, 2019