Michezo
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) limethibitisha kumfungia mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa mshambuliaji wa klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo baada ya...
By Kelvin MwaipunguSeptember 27, 2018KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Emmanuel Amunike ametangaza majina ya wachezaji 30 watakaoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo...
By Kelvin MwaipunguSeptember 27, 2018MICHEZO mbalimbali iliendelea jana barani Ulaya kwa kushuhudia magwiji wa tatau Liverpool, Barcelona na Real Madrid wakikubali kupokea vichapo ambavyo viliwashangaza wadau wengi...
By Kelvin MwaipunguSeptember 27, 2018JONESIA Rukyaa kutoka Kagera ametangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kuwa mwamuzi wa kati kwenye mechi ya Simba na Yanga...
By Kelvin MwaipunguSeptember 26, 2018KITENDO cha Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kutotokea kwenye hafla ya utoaji tuzo ya Mchezaji Bora wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani...
By Kelvin MwaipunguSeptember 25, 2018KUELEKEA mchezo utakaowakutanisha watani wajadi Simba na Yanga, Septemba 30, 2018 wachezaji tegemeo kwa vikosi vyote viwili Feisal Salumu ‘Fei Toto’ wa Yanga...
By Kelvin MwaipunguSeptember 24, 2018KIUNGO wa Manchester United ambaye ni raia wa Ubelgiji, Marouane Fellaini, ameongezewa mshahara unaomfanya ashike namba nne kati ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa...
By Faki SosiSeptember 24, 2018BONDIA wa Uingereza, Anthony Joshua (28), usiku wa kuamkia Jumapili Septemba 23, 2018, ameendeleza ubabe kwa kumtwanga Alexander Povetkin (39) kwa KO (Knock...
By Faki SosiSeptember 23, 2018RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Ahmad Ahmad kupitia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametuma salamu...
By Kelvin MwaipunguSeptember 22, 2018BAADA ya kutokuwa na mwenendo mzuri wa matokeo katika michezo miwili ya Ligi kuu Tanzania Bara, Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba inatarajia...
By Kelvin MwaipunguSeptember 21, 2018BEKI wa Yanga, Kelvin Yondani ataukosa mchezo Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida United unaotarajia kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...
By Kelvin MwaipunguSeptember 21, 2018SITAKI kumtetea Patrick Aussems na wala sitaki kusimama upande wa Masoud Djuma lakini najisikia kusema jambo dogo tu baada ya dakika 90 pale...
By Mwandishi MaalumSeptember 21, 2018KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amewaondoa kikosini wachezaji Haji Mwinyi, Ramdhani Kabwili, Pius Buswita na Said Makapu kutokana na sababu za utovu...
By Kelvin MwaipunguSeptember 18, 2018KAMATI ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake, Wakili Revocatus Kuuli imetangaza kuusimamisha Uchaguzi Mkuu wa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 18, 2018TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU imetangaza rasmi kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajiri ya Simba, Zacharia Hans Pope baada...
By Kelvin MwaipunguSeptember 14, 2018KUWAONA washambuliaji wawili Meddie Kagere wa Simba na Heritier Makambo wa Yanga wawili hao wataonyeshana ubabe Septemba 30, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar...
By Kelvin MwaipunguSeptember 13, 2018BAADA kukamilika kwa zoezi la uchukuaji fomu kuwania uongozi ndani ya klabu ya Simba, kamati ya uchaguzi ndani ya klabu hiyo imetoa orodha...
By Kelvin MwaipunguSeptember 11, 2018KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF) kupitia mwenyekiti wake Hamidu Mbwezeleni imemfungia Meneja wa Simba, Robert Richard kutojihusisha na...
By Kelvin MwaipunguSeptember 10, 2018KATIKA keulekea mchezo dhidi ya Uganda unaotarajia kuchezwa Septemba 8, 2018 Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Emannuel Amunike...
By Kelvin MwaipunguSeptember 5, 2018KUMEKUWA na hali ya sintofahamu toka kwa mashabiki na wanachama wa Yanga juu ya kiungo aliyesajiliwa msimu akitokea Mtibwa Sugar, Mohamed Banka kutoonekana...
By Kelvin MwaipunguSeptember 5, 2018MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Donald Ngoma bado ataendelea kuwa nje ya uwanja baada ya kuendelea kutibu jeraha lake la goti lililomsumbua kwa muda...
By Kelvin MwaipunguSeptember 3, 2018SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF, kupitia kamati yake ya uendeshaji wa ligi (Kamati ya Masaa 72) iliyokaa jumamosi imewatia hatiani waamuzi...
By Kelvin MwaipunguSeptember 3, 2018TIMU ya Mbeya City imeendelea kupata tabu katika Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kupoteza mchezo wa tatu mfululizo dhidi ya Mtibwa Sugar...
By Kelvin MwaipunguSeptember 1, 2018MENEJA wa klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp ameonekana kuwahofia dhidi klabu ya Leicester City katika kuelekea kwenye mchezo wao wa ligi kuu nchini...
By Kelvin MwaipunguAugust 31, 2018KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars, Emmanuel Amunike ametoa msamaha kwa wachezaji wa watano wa Simba na mmoja wa...
By Masalu ErastoAugust 31, 2018SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania (TFF), kupitia katibu mkuu wake Wilfred Kidao imesema mpaka sasa hawajajua watatoa zawadi ipi kwa bingwa wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 31, 2018BAADA ya kumalizika kwa michezo ya kundi D, ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika hatimaye klabu za Yanga na Gor Mahia...
By Kelvin MwaipunguAugust 29, 2018MSHAMBULIAJI wa Livepool na timu ya Taifa ya Misri, Mohamed Salah amekipa masharti Chama cha Mpira wa Miguu Misri (EFA) ambayo wakishindwa kuyatimiza...
By Masalu ErastoAugust 29, 2018KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Emmanuel Amunike amewaondoa wachezaji sita wa klabu ya Simba waliokuwa wameitwa kwenye timu hiyo...
By Kelvin MwaipunguAugust 29, 2018KAMATI ya Waamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Mwenyekiti wake, Mzee Salum Chama imewasimamisha baadhi ya waamuzi ambao wamefanya vibaya...
By Kelvin MwaipunguAugust 29, 2018SAID Juma Makapu amefiwa na mama yake mzazi nyumbani kwao Zanzibar, hivyo kusababishwa kuondolewa katika orodha ya wachezaji wa Yanga wanaosafiri kuelekea nchini...
By Masalu ErastoAugust 27, 2018BASILA Mwanukizi, Mkurugenzi wa kampuni ya Look LTD ambao ni waandaaji wapya wa Shindano la Miss Tanzania kwa mwaka 2018 amesema kuwa atahakikisha...
By Khalifa AbdallahAugust 27, 2018LIONEL Messi, nahodha wa Bacelona na Sergio Ramos wa Real Madri ndio vinara wa kuongoza mgomo kupinga La Liga kuchezwa Marekani. Anaandika Kelvin...
By Kelvin MwaipunguAugust 26, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), kupitia kamati yake ya nidhamu imemfungia miaka 12, Rais wa Chama cha Soka cha Palestina, Jibfril...
By Kelvin MwaipunguAugust 25, 2018BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limevitaka vyuo na taasisi za elimu kutoa matokeo ya wahitimu wao mapema kwa ajili ya...
By Regina MkondeAugust 24, 2018MICHEZO namba 14 na 19 ya Ligi Kuu Bara kati ya mabingwa watetezi Simba na Mbeya City na ule wa Azam FC dhidi...
By Kelvin MwaipunguAugust 24, 2018YANGA SC imeanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa mjini...
By Kelvin MwaipunguAugust 23, 2018KOCHA mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Emmanuel Amunike ameita kikosi cha wachezaji 24 kitakachoingia kambini hivi karibuni, kujiwinda na...
By Kelvin MwaipunguAugust 21, 2018SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wamepitisha majina ya waamuzi 82, watakao chezesha michezo mbali mbali ya ligi kuu Tanzania bara katika...
By Kelvin MwaipunguAugust 21, 2018WIZARA ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imehamisha umiliki wa viwanja viwili kutoka Makonde kwenda kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) vilivyokuwa...
By Khalifa AbdallahAugust 20, 2018SIMBA wamefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa mara ya pili mfululizo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 18, 2018RAIS wa klabu ya Simba Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wameendelea tena kusota mahakamani baada ya kusubiri kibali kutoka kwa...
By Kelvin MwaipunguAugust 17, 2018MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uganda ‘The Crains’ kitakachowakabili timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ mchezo wa...
By Kelvin MwaipunguAugust 17, 2018SERIKLI ya Misri kupitia Waziri wa Michezo, Ashraf Sobhy ametangaza rasmi kuwaruhusu mashabiki wa mpira wa miguu kuingia uwanjani katika michezo ya Ligi...
By Kelvin MwaipunguAugust 15, 2018EDWIN Van Der Sar, mlinda mlango wa zamani wa Manchester United ni moja kati ya majina matatu yaliotajwa kuja kukalia kiti cha Mkurugenzi...
By Masalu ErastoAugust 14, 2018MSHAMBULIAJI wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohammed Salah ameingia matatizoni na polisi wa Merseyside baada ya kuibuka kwa video mitandaoni...
By Kelvin MwaipunguAugust 14, 2018BODI ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania imefanya mabadiliko ya ratiba ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni wiki mbili kabla ya...
By Kelvin MwaipunguAugust 13, 2018MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Heritier Makambo amepewa ruhusa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ‘CAF’ kuitumikia klabu hiyo katika mchezo wa Kombe...
By Kelvin MwaipunguAugust 11, 2018JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema linalaani vikali tukio linalosambaa mtandaoni la kupigwa kwa mwandiishi wa habari wa Wapo Radio...
By Khalifa AbdallahAugust 10, 2018HAKIMU mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Thomas Simba ametoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kubadilisha hati ya mashtaka ili kuwaondoa kwenye kesi...
By Kelvin MwaipunguAugust 10, 2018