Friday , 29 March 2024

Michezo

Michezo

Michezo

Morrison awaponza Manara na Hanspope

KAMATI ya maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewapiga faini kiasi cha Shilingi 5 milioni, Msemaji wa klabu ya Simba,...

Michezo

Man Utd, Man City kuanza Ligi mwisho wa wiki hii

KLABU za Manchester United na Manchester City zinatarajia kuanza mbio zake kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza mwishoni wa juma hili baada ya kupumzika...

Michezo

Yanga yaanza kukusanya pointi Ligi Kuu

GOLI la dakika ya 86 lililofungwa kwa kichwa na beki kisiki wa Yanga, Lamine Moro limetosha kuwapa furaha mashabiki wa timu hiyo. Anaripoti...

Michezo

Mtibwa yaing’ang’ania Simba

DAKIKA 90 zimemalizika dimba la Jamhuri mkoani Morogoro kwa mabingwa watetezi wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara 2020/21, Simba kutoshana nguvu kwa kufungana...

Michezo

Yanga wazindua jezi mpya 2020/21

MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam, wamezindua jezi mpya ambazo zitatumika katika msimu wa 2020/21. Anaripoti...

Michezo

Samatta njia panda Aston Villa

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Samatta anayekipiga kwenye klabu ya Astorn Villa huenda akauzwa katika dirisha hili kubwa...

Michezo

TFF yadai wasifu wa makocha

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezitaka klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kuwasilisha wasifu na vyeti vya makocha wao waliowaajili kuvinoa...

Michezo

Magoli 14 yafungwa ligi kuu, KMC yaongoza

MICHEZO ya raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 imemalizika huku ikishuhudia magoli 14 yakifungwa katika mechi kumi. Anaripoti...

Michezo

KMC yaanza kwa kishindo ligi kuu, Kagera yapigwa

TIMU ya KMC FC ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imeanza kwa kushindo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2020/21 kwa kuifunga Mbeya...

Michezo

Barbara amrithi Senzo Simba

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Simba imemtangaza Barbara Gonzalez Kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endeleaa) Barbara ametangazwa...

Michezo

Yanga yaiteka nchi, mashabiki waitika

IDADI kubwa ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kwenye kilele cha “Wiki ya Mwananchi” kinaweza kuwa kielelezo tosha cha kuonesha kufanikiwa kwa tamasha hilo...

Michezo

Saprong, Kisinda waanza kwa furaha Yanga

BAADA ya kupachika mabao mawili kwenye mchezo wa jana Jumapili tarehe 30 Agosti 2020 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi kwenye kilele cha...

Michezo

Kikwete aishauri Yanga kumwacha Morrison

RAIS mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewataka mashabiki wa klabu ya Yanga kutoumizwa kichwa na sakata la mchezaji...

Soka

Kessy ajiunga Mtibwa akitokea Nkana FC

TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro nchini Tanzania, imemsajili beki Ramadhan Kessy akitokea Nkana FC ya Zambia. Anaripoti Kelvin Mwapungu, Dar es Salaam…(endelea)...

Michezo

Simba yaanza kubeba makombe

TIMU ya Simba imeanza vyema safari ya msimu wa ligi 2020/21 kwa kutwaa Ngao ya Jamii. Anaripoti Kelvin Mwapungu…(endelea) Simba ambao ni mabingwa...

Michezo

Usiyoyajua kuhusu kocha mpya Yanga

LEO mapema klabu ya Yanga ilimtangaza Zlatko Krmpotic ambaye ni raia wa Serbia mwenye umri wa miaka 62, kuja kukinoa kikosi hicho kwa...

Michezo

Pari Match waikogesha Mamilioni Mbeya

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya Pari Match imeingia mkataba na klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani ya...

Michezo

Yanga yatangaza kocha mpya

MABINGWA wa kihistoria nchini Tanzania, Yanga, imemtangaza Zlatko Krmpotic kuwa Kocha Mkuu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Kocha huyo anakuja...

KimataifaMichezo

Pogba aambukizwa corona, atoswa Ufaransa

PAUL Pogba, kiungo wa Manchester United, ameachwa katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Ufaransa, baada ya kubainika kuambukizwa virusi vya corona (COVID-19)....

Michezo

Wawa, Miquison warejea kikosini, Kuwavaa Namungo Jumapili

WACHEZAJI wa klabu ya Simba, Pascal Wawa na Luis Miquison wamerejea leo kikosini kwa kuingia kambini baada ya kuwasili leo nchini kutoka kwenye...

Michezo

Kikwete mgeni rasmi tamasha la Yanga

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la klabu ya...

Michezo

Matatizo ya kifamilia yamkosesha kazi kocha Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kuachana na aliyetaka kuwa kocha wao Cedric Kaze kutokana na kutoa taarifa ya kuchelewa kufika nchini kwa...

Michezo

Simba mguu sawa kuivaa Namungo FC

KLABU ya Simba imecheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC na Transit Camp kujiweka sawa kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi...

Michezo

Mashabiki kuandamana Messi kuondoka Barcelona

BAADA ya mshambuliaji wa klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi kutuma maombi maalumu kwa uongozi ya kutaka kuondoka kwenye klabu hiyo, mashabiki wa...

Michezo

Yanga kucheza na Aigle Noir kilele siku ya Mwananchi

KLABU ya Yanga inatarajia kucheza na timu ya Aigle Noir kutoka Burundi katika kilele cha Tamasha la Siku ya Mwananchi, linalotarajiwa kufanyika Jumapili...

Michezo

Bayern mabingwa wa Ulaya

TIMU ya Bayern Munich ya Ujerumani imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabigwa Bara la Ulaya (UEFA) kwa kuifunga PSG ya Ufaransa bao 1-0...

Michezo

Morrison atoa ya moyoni kuhusu Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison amesema kuwa klabu ya Simba ndio chuo cha mpira wa miguu nchini Tanzania na...

Michezo

Manara amaliza utata

MSEMAJI wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa bado yupo sana ndani ya klabu ya Simba na wala hana mpango wa kuondoka...

Michezo

Cedric Kaze kocha mpya Yanga

UONGOZI wa klabu ya Yanga umemtangaza Cedric Kaze kuwa kocha mpya wa klabu ya Yanga, ambaye atakiongoza kikosi hicho katika misimu ujao wa...

Michezo

Uhondo wa EPL kuanza Septemba 12

LIGI Kuu ya Uingereza (EPL) msimu wa 2020/21 itaanza tarehe 12 Septemba 2020 ikishuhudia mechi sita zikipigwa katika viwanja tofauti. Inaripoti Mitandao ya...

Michezo

Diamond kutumbuiza Simba Day, viingilio hadharani

MSANII wa kimataifa kutoka Tanzania, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz atakuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kilele cha tamasha la mabingwa wa soka wa...

Michezo

Ratiba ligi kuu hii hapa, Yanga na Simba Oktoba 18

BODI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2020/21, imetoa ratiba ya ligi hiyo inayoshirikisha timu 18. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Michezo

Ihefu kuanza na Simba Ligi Kuu, Yanga na Tanzania Prisons

BODI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2020/21, imetangaza ratiba ya mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo inayoshirikisha timu 18. Anaripoti...

Michezo

David Kameta asaini Simba

KLABU ya Simba imemsajiri aliyekuwa beki wa Lipuli FC, David Kameta, kwa mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuimalisha kikosi chao kuelekea...

Michezo

Simba yatambulisha beki, mshambuliaji

MABINGWA wa Ligi Kuu ya soka Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2019/20 timu ya Simba, imewatambulisha wachezaji wawili mshambuliaji na beki. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Michezo

Simba yazindua nembo na jezi mpya

KLABU ya Simba leo Ijumaa 14 Agosti, 2020 imezindua nembo yake mpya na jezi zitakazotumika kwenye msimu ujao wa kimashindano 2020/21 katika michuano...

Michezo

Yanga wamkatia rufaa Morrison Fifa

MUDA mchache baada ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kutoa maamuzi ya kesi ya kimkataba kati ya klabu ya Yanga na...

Michezo

Morrison aishinda Yanga, kupelekwa kamati ya maadili

BERNARD Morrison amefanikiwa kuibwaga klabu ya Yanga kwenye kesi ya kimakataba iliyokuwa inasikilizwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho...

Michezo

Nyaraka kuamua hatma ya kesi ya Morison, Yanga

KAMATI ya Sheria na hadhi ya Wachezaji inatarajia kutoa maamuzi juu ya kesi ya kimkataba kati ya mchezaji Benard Morrison na uongozi wa...

Michezo

Yanga yaachana na Yondani na Juma Abdul

KLABU ya Yanga leo imetangaza rasmi kuachana na wachezaji wake wakongwe, Kelvin Yondani na Juma Abdul baada ya kutofikia makubaliano baada ya mikataba...

Michezo

Ninja arejea Yanga

ABDALLAH  Shaibu (Ninja) amerejea tena ndani ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya La Garaxy inayoshiriki ligi kuu nchini Marekani....

Michezo

Mshambuliaji mpya Yanga aibuka mchezaji Bora mwezi Julai

MSHAMBULIAJI wa zamani wa klabu ya Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Julai katika...

Michezo

TFF yampiga nyundo aliyekuwa kocha Yanga

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya Sh. 8 milioni, aliyekuwa kocha wa Yanga,...

Michezo

FIFA: Ya Sepp Blatter yamkuta Infantino

TUHUMA za rushwa ndani ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limechepua tena na sasa Gianni Infantino, rais wa shirika hilo amefunguliwa jalada la...

Michezo

Arsenal waipiga Chelsea, watwaa ubingwa FA CUP

PIERRE- Emerick Aubameyang, kiungo mshambuliaji wa Arsenal ameiwezesha timu yake kutwaa ubingwa wa Kombe la FA CUP nchini Uingereza kwa kuofungia magoli 2-1...

Michezo

Mwamyeto atua Yanga, Niyonzima Azam

USAJILI wa wachezaji wa Ligi Kuu ya Vodamom Tanzania Bara kwa msimu ujao wa 2020/21 umeendelea kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Michezo

Kocha Simba: Tumekuja kushinda fainali

KULEKEA mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amesema, wamekwenda...

Michezo

Hatma ya Mbao FC, Mbeya City Ligi Kuu leo

KLABU za Mbao FC pamoja na Mbeya City zinashuka dimbani leo katika michezo ya marudiano ya mtoano (Play off) katika harakati za kuwania...

Michezo

TFF yafungua dirisha la usajili

SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF limefungua dirisha la usajiri kwa klabu za Ligi Kuu, Ligi daraja la kwanza, Daraja la pili...

Michezo

30 kuwania mchezaji bora VPL, Simba yaongoza

KAMATI ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) 2019/20, imetoa orodha ya majina 30 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa...

error: Content is protected !!