Michezo
LIGI Kuu Tanzania Bara inarejea tena kesho kwa kupigwa michezo miwili, ambapo Simba itakuwa Ugenini kuikabili Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 3, 2021TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wanatarajia kucheza michezo miwili ya kirafiki kwa ajili ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 1, 2021KOCHA wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 (NgorongoroHeroes), Jamhuri Julio amelia na namna ya wachezaji wa timu ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 1, 2021MARA baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) kwenye hatua ya makundi, timu ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021KOCHA wa kikosi cha TP Mazembe, Felix Mwamba ameonekana kuvutiwa na kiwango cha kiungo wa klabu ya Simba Laary Bwalya mara baada...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021NAHODHA msaidizi wa klabu ya Simba, Mohammed Hussein amesema kuwa ujio wa kocha wao mpya umeongeza mzuka kwa wachezaji katika kutimiza malengo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021BODI ya Ligi Tanzania Bara imetoa ratiba ya michezo iliyohairishwa kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi, ambapo klabu ya Simba itaanza kushuka...
By Kelvin MwaipunguJanuary 30, 2021MSANII wa muziki nchini Tanzania, Naseeb Abdul maarufu ‘Diamond Platnum’ amesema, kiwango cha fedha anachoingiza kwa mwezi, kutokana na mikataba mbalimbali ya...
By Masalu ErastoJanuary 28, 2021MARA baada ya kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi na Kamati ya Maadili...
By Kelvin MwaipunguJanuary 28, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars ) imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) baada...
By Kelvin MwaipunguJanuary 28, 2021AFISA Habari na Mawasiliano wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa miaka mitatu kujihusisha na masuala ya mpira wa miguu baada ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba umeamua kushusha viingilio kutoka Sh. 3,000 mpaka Sh. 2,000, kwenye mchezo wao dhidi ya TP Mazembe kutoka...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021DAKIKA tatu zilizotosha kumfanya Bernard Morisson kuibuka mchezaji bora wa mechi mara baada ya kupachika mabao mawili kwenye mchezo wa Kombe la...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021NIZAR Khalfan, ametangazwa kuwa Kocha Msaidizi wa Mabingwa wa Michuano ya Mapinduzi ya Zanzibar, Yanga ya jijini Dar es Salaam, nchini Tanzania....
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa beki wa kati, Peter Muduhwa raia wa Zimbabwe ambaye alikuwa kwenye michuano ya kombe la Mataifa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 26, 2021WAKATI kikosi cha Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara kikiingia kambini hii leo kujiandaa na michezo ya mzunguko wa pili...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021TAARIFA kutoka vyanzo mbalimbali nchini Uingereza vinasema huwenda muda wowote klabu ya Chelsea ikamtimua kocha wake wa sasa Frank Lampard kufuatia matokeo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021KUELEKEA mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wandani (CHAN), wachezaji watatu wa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021BAADA ya mapumziko ya siku 10, hatimaye kikosi cha Yanga kitaanza mazoezi leo kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021KOCHA mpya wa timu ya Simba, Didier Gomes amesema kuwa ameifuatilia kwa karibu Ligi Kuu ya Tanzania Bara na kuwafahamu baadhi ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 24, 2021UONGOZI wa klabu Simba umemtambulisha, Didier Gomes raia wa Ufaransa kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJanuary 24, 2021MARA baada ya kupoteza kwa bao 1-0, mbele ya Burnley, kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ataongoza kikosi chake kwenye Uwanja Old Trafford kuwakabili...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021KAMATI Nidhamu ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, imemkuta na hatia kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ya utovu wa...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021TIMU ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inashuka dimbani kucheza na Namibia kwenye michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2021MTENDAJI Mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amemaliza sintofahamu juu ya winga wa timu hiyo, Bernard Morrison kuhusu taarifa zilikuwa zinaeleza...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021HATMA ya kiungo wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Jonas Mkude juu ya tuhuma za kinidhamu zinazomkabili, itajulikana kesho...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021TIMU ya Simba ya Dar es Salaam, imetangaza michuano ya Kimataifa ‘Simba Super CUP’ ikihusisha timu tatu Simba, TP Mazembe ya Congo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021KICHAPO cha bao 1-0, dhidi ya Burnley, kocha kikosi cha Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa timu yake imefungwa kwenye mchezo ambao hawakustahili kufungwa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021KIUNGO wa timu ya Simba na Taifa ya Tanzania, Jonas Mkude ameomba radhi kwa viongozi, wanachama pamoja na mashabiki wa klabu hiyo mara...
By Kelvin MwaipunguJanuary 21, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatarajia kuendesha Semina kwa viongozi wa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ili kuwajengea uwezo katika...
By Kelvin MwaipunguJanuary 21, 2021LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajia kurejea tena tarehe 13 Februari, 2021 mara baada ya kusimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi pamoja na...
By Kelvin MwaipunguJanuary 21, 2021KOCHA msaidizi wa timu wa Yanga, Juma Mwambusi ameamua kuachana na klabu hiyo mara baada ya kusumbuliwa na matatizo ya kiafya na kuhitaji...
By Kelvin MwaipunguJanuary 21, 2021WAKATI Ligi Kuu England ikiendelea tena leo ikiendelea leo kwa michezo miwili kupigwa, haki imeonekana si shwari kwa timu kugombania nafasi nne za...
By Kelvin MwaipunguJanuary 20, 2021BAADA ya kukubali kipigo cha mabao 2 – 0, dhidi ya Zambia kwenye michuano ya kombe la Mataifa Afrika, Timu ya Taifa ya...
By Kelvin MwaipunguJanuary 19, 2021DIRISHA dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara na ligi daraja la kwanza, limefungwa tarehe 15 Januari 2021, huku baadhi...
By Kelvin MwaipunguJanuary 19, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo kwa mara ya kwanza itashuka dimbani dhidi ya Zambia, katika michuano ya kombe la mataifa...
By Kelvin MwaipunguJanuary 19, 2021ALIYEKUWA kiungo wa klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya Ujeruman, Mesut Ozil amejiunga na klabu ya Fenerbahce ambayo anakipiga mtanzania Mbwana...
By Kelvin MwaipunguJanuary 18, 2021MSHAMBULIAJI na Nahodha wa timu ya FC Barcelona, Lionel Messi ameoneshwa kadi nyekundu kwa mara ya kwanza tangu alipoanza kuitumikia klabu hiyo kwenye...
By Kelvin MwaipunguJanuary 18, 2021KAMATI ya uchaguzi ya klabu ya Simba imewapitisha Juma Nkamia na Murtaza Mangungu kuwania nafasi ya Mwenyekiti katika uchaguzi mdogo wa klabu hiyo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 16, 2021KUELEKEA kufungwa kwa dirisha dogo la usajili, klabu ya Yanga imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burundi, Fiston Abdul Razak ili kuongeza nguvu...
By Kelvin MwaipunguJanuary 15, 2021KLABU ya FC Platinum inayoshiriku Ligi Kuu nchini Zimbabwe imethibitisha kuwa imefikia makuabaliano na Simba kuhusu uhamisho wa kiungo wao mshambuliani Perfect Chikwende....
By Kelvin MwaipunguJanuary 15, 2021TUME ya Taifa ya Ushindani (FCC) imetoa taarifa kwa umma juu ya kuendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021MABAO ya Meddy Kagare na Miraji Athumani yalitosha kuipeleka Simba kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuiondosha Namungo FC kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 12, 2021KLABU ya Yanga imefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Mapinduzi na kuwaondosha Azam FC kwa mikwaju ya penati 5-4, baada ya kutoshana nguvu...
By Kelvin MwaipunguJanuary 11, 2021BEKI wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Dickson Job ataukosa mchezo wa kesho wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya DR Congo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 11, 2021KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imesema, makocha 55 wametuma wasifu (CV) wakiwania nafasi moja ya kuwafundisha mabingwa hao...
By Hamisi MgutaJanuary 10, 2021CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga hakufurahishwa na namna timu yake ilivyocheza dhidi ya Namungo FC, kwenye mechi ya Kombe la Mapinduzi visiwani...
By Masalu ErastoJanuary 9, 2021ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema, ameondoka ndani ya timu hiyo ili kumwezesha kuwa na uwiano kati yake na kazi, familia...
By Kelvin MwaipunguJanuary 8, 2021KLABU ya Soka ya Simba imepangwa kundi A, kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na klabu za Al Ahly kutoka nchini...
By Kelvin MwaipunguJanuary 8, 2021KLABU ya Soka ya Namungo imepangwa kucheza na CD 1 de Agosto kutoka nchini Angola kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kwenye...
By Kelvin MwaipunguJanuary 8, 2021