Michezo
KOCHA wa Yanga, Cedric Kaze amesema atawakosa wachezaji watano kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union....
By Kelvin MwaipunguMarch 4, 2021FRANCIS Ciza maarufu Majizo, amejitokeza kumzungumzia mke wake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa uvumilivu aliouonyesha wakati wa uchumba wao na hatimaye ndoa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2021KLABU ya Simba ya Dar es Salaam nchini Tanzania, imemtangaza muigizaji maarufu nchini humo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ kuwa msemaji wa timu ya...
By Masalu ErastoMarch 3, 2021MLINDA mlango wa klabu ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Manula emerejea kwenye kikosi cha klabu yake hii leo...
By Kelvin MwaipunguMarch 3, 2021KLABU ya Simba itaondoka nchini leo kuelekea Khartoum, Sudan kuwavaa El Merreikh kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa tarehe 6...
By Kelvin MwaipunguMarch 3, 2021KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga, kikosi cha Yanga kimejipanga kuvunja mwiko ya kutopata...
By Kelvin MwaipunguMarch 2, 2021USHINDI wa mabao matatu walioupata Simba dhidi ya JKT Tanzania, ulitosha kuwafanya kuibuka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...
By Kelvin MwaipunguMarch 1, 2021AFISA habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli ameshinda rufaa yake mara baada ya kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na masuala ya mpira...
By Kelvin MwaipunguFebruary 28, 2021KLABU ya Manchester United itavaana na AC Milan kwenye hatua ya 16 ya michuano ya Kombe la Europa baada ya kuchezeshwa kwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 26, 2021KIM Poulsen, kocha mpya wa Taifa Stars amelibakisha benchi lote la ufundi lilokuwa likitumiwa na Ettienne Ndayilagije wakiwemo makocha wasaidizi Selamani Matola...
By Kelvin MwaipunguFebruary 26, 2021KOCHA mkuu wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen ameita jumla ya wachezaji 43 watakao ingia kambini...
By Kelvin MwaipunguFebruary 26, 2021LICHA ya kupoteza kwa mabao 3-1, kwenye mchezo wa mzunguko wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Costo De Agosto...
By Kelvin MwaipunguFebruary 25, 2021KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kim Poulsen anatarajia kutangaza kikosi chake kitakachoingia kambini kwa ajili ya maandalizi dhidi...
By Kelvin MwaipunguFebruary 25, 2021WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Innocent Bashungwa amekitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwekeza kwenye michezo kwa kuwa inamiliki asilimia kubwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 25, 2021MCHEZAJI namba moja wa gofu duniani, Tige Wood amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari Los Angeles, Marekani. Inaripoti Aljazeera …...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021USHINDI wa bao 1-0, dhidi ya Al Ahly walioupata Simba kwenye uwanja wa Mkapa, mchezo wa kundi A wa Ligu ya Mabingwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 23, 2021BAO pekee la Luiz Miquison lilitosha kuiangamiza Al Ahly kwenye mchezo wa kombe la Ligu ya Mabingwa Afrika, katika mchezo uliofanyika kwenye...
By Kelvin MwaipunguFebruary 23, 2021KAMA itafanikiwa kuvuka kwenye mchezo wa pili dhidi ya Costo De Agosto ya Angola, klabu ya Namungo ya Tanzania, itaangukia kwenye kundi...
By Kelvin MwaipunguFebruary 22, 2021KOCHA Mkuu wa Al Ahly, Pitso Mosimane ametaja wachezaji Luis Miquison, Clatous Chama na Chriss Mugalu kama wachezaji wa kuwachunga kuelekea mchezo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 22, 2021TIMU ya soka ya Namungo FC leo inashuka uwanjani kuwakabili CD 1 Agosto kutoka Angola kwenye mchezo wa raundi ya tatu ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 21, 2021RAIS wa Shirikisho la mpira wa Miguu visiwani Zanziba (ZFF) Seif Kombo Pandu amejiuzuru nafasi hiyo hii leo tarehe 18 Februari 2020,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 18, 2021MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba ya jijini Dar es Salaam, imeomboleza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John...
By Kelvin MwaipunguFebruary 18, 2021KLABU ya Yanga imelazimishwa sare ya mabao 3-3 na Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), limeamua michezo yote miwili ya Kombe la Shirikisho kati ya Namungo FC na CD...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021KAMPUNI ya Azam Media, wamekuja na mradi wa kufunga taa kwenye viwanja vinne vinavyochezewa Ligi kuu Tanzania Bara. Anaripoti Kelvin Mwaipungu… (endelea)...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2021UMESAHAU ulipotoka hujui unapokwenda, ukapata kiburi kuona mi nakupenda, nilikuthamini na letu penzi kulienzi na leo siamini kama umenisaliti mpenzi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 (Ngorongoro Heroes) ambayo ipo chini ya kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ itakuwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2021MABINGWA watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Al Ahly itashuka dimbani hii leo tarehe 16 Februari 2021, dhidi ya El...
By Kelvin MwaipunguFebruary 16, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemteua Kim Poulsen raia wa Denmark (61) kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘Taifa...
By Hamisi MgutaFebruary 15, 2021WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza klabu ya Simba kwa kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya michuano...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021SHIIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa kitendo cha timu ya Namungo FC kutaka kuwekwa karantini nchini Angola baada ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021SAA chache mara baada ya msafara wa Namungo kuzuiliwa kwenye Uwanja wa ndege wa Luanda Angola, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021MSAFARA wa wachezaji na viongozi wa klabu ya Namungo FC umezuiliwa katika Uwanja wa ndege wa Luanda nchini Angola kwa madai kuwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021PENALTI ya dakika 60 ya mchezo iliwekwa kambani na Chriss Mugalu ilitosha kuipatia Simba pointi tatu kwenye mchezo wa ugenini dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021MSHAMBULIAJI wa Biashara United ya Mara, Deogratius Mafie amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL)...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imevunja rasmi mkataba na aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Etienne...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2021INAELEZWA tayari Kim Poulsen kocha raia wa Denmark yupo nchini kwa ajili ya kukaimu kwa muda nafasi ya aliyekuwa kocha wa Timu...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2021MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara utaanza kesho tarehe 11 Februari 2021, huku kukiwa na kitendawili kikubwa kwenye kumpata bingwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 10, 2021MSAFARA wa wachezaji, benchi la ufundi pamoja na viongozi wa klabu ya Simba umewasili salama Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 10, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewafungia Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Shinyanga (SHIREFA), Bannister Misango kutojihusisha...
By Kelvin MwaipunguFebruary 10, 2021MSAFARA wa watu 44, wakiwemo wachezaji, viongozi na benchi la ufundi la klabu ya Simba umeondoka jijini Dar es Salaam hii leo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 9, 2021DROO ya hatua ya 32 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (FA) imechezeshwa hii leo ambapo jumla ya michezo...
By Kelvin MwaipunguFebruary 9, 2021MWENYEKITI mpya wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu ameanza kazi kwa kasi katika kuhakisha timu hiyo inafanya vizuri kwenye michuano kimataifa kwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2021BAADA ya kutoka sare ya mabao 2-2, dhidi ya Azam FC, klabu ya Simba kupitia msemaji wake, Haji Manara imesema, mashabiki wa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2021ALIYEWAHI kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars,’ Kim Poulsen anarejea tena nchini na kuwa mshauri mkuu wa soka...
By Kelvin MwaipunguFebruary 8, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia ameangukia pua kwenye uchaguzi wa klabu ya Simba baada ya kushindwa na Murtaza Mangungu kwa tofauti...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2021MGOMBEA nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Juma Nkamia amesema, akipewa ridhaa ya uongozi ndani ya klabu hiyo atahakikisha anasimama na...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2021MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesema kuwa moja ya ajenda zake nyingine, akipewa ridhaa ya kuongoza...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2021BODI ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba jijini Dar es Salaam, imetoa onyo kwa wachezaji na viongozi wa timu hiyo watakaokwenda kinyume...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2021WANACHAMA wa Klabu ya Simba, jijini Dar es Salaam, wamekutana kumchagua Mwenyekiti wa timu hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2021