Thursday , 25 April 2024

Maisha

Maisha

Elimu

Mollel aomba dirisha maalum la Visa kwa wanafunzi kwenda kusoma China

MKURUGENZI wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel, ameishukuru China kwa kufungua mipaka yake na ameomba Ubalozi wan chi hiyoo hapa nchini kufungua dirisha...

Afya

RC Babu atoa wiki mbili ujenzi zahanati Siha ukamilike

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa wiki mbili kwa kamati ya ujenzi ya Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD), maabara na nyumba...

Elimu

Wanafunzi 800 watumia madarasa 4

KUKOSEKANA kwa vyumba vya kutosha vya madarasa katika shule ya msingi ya Mamboya iliyopo Kijiji na kata ya Mamboya Tarafa ya Magole Wilayani...

Afya

Ummy Mwalimu aunda kamati kuchunguza malalamiko ya madaktari waliofelishwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Jumatatu ametangaza ameunda Kamati huru yenye wajumbe 13 ili kuchunguza malalamiko ya madaktari watarajali (Intern Doctors) kuhusu...

Elimu

Umahiri wa Kingereza wanafunzi Tusiime wamshangaza Ofisa Elimu Dar 

  UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi Tusiime umemfurahisha...

Afya

Serikali yajipanga kupunguza gharama usafishaji figo

  SERIKALI imesema itahakikisha gharama za usafishaji figo zinakuwa nafuu ili kuokoa maisha ya watanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu,  … (endelea). Kauli hiyo imebainishwa...

AfyaTangulizi

Puto lampunguza Msechu kilo 17, aongezewa maji

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Mloganzila imesema hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum...

Elimu

NMB yaimarisha elimu, afya Tabora, Simiyu na Mwanza

BENKI ya NMB imeshiriki katika utatuzi wa changamoto za afya na elimu kwa kutoa michango muhimu katika kuimarisha huduma hizo kwenye maeneo mbalimbali...

Elimu

Chuo cha Uhasibu Arusha (AIA) chapanua wigo wa kitaaluma nchini

  WAKATI maendeleo ya Elimu nchini yakiongezeka Chuo cha Uhasibu Arusha kimeongeza usanifu ili kuendana na kasi ya mabadiliko hayo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Elimu

Vyuo vikuu 15 bora Malasyia kuonyesha fursa za masomo Dar

VYUO vikuu vikubwa 15 vya nchini Malaysia vinatarajia kufanya maonyesho hapa nchini kwa lengo la kuwaonyesha watanazania fursa mbalimbali za kielimu zinazopatikana kwenye...

AfyaTangulizi

Mganga mfawidhi mbaroni madai wizi wa dawa, vifaa tiba

Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia mtumishi mmoja aitwaye Rioba Nyamos (34) ambaye ni Mganga mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji Cha Iporoto...

Afya

855 milioni kutafiti viashiria magonjwa yasiyoambukiza

  SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) linatarajiwa kuipatia Serikali ya Tanzania fedha Sh 855 milioni kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa...

Elimu

Wanafunzi 3,000 MNMA wafundwa uongozi, maadili

CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kilichopo wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam, kimetoa mafunzo ya uongozi na maadili kwa wanafunzi wanaotarajia...

Elimu

Mgogoro wa ardhi wakwamisha ujenzi nyumba ya walimu Ileje

MGOGORO wa mpaka kati ya vijiji vya Sange na Mswima kata ya Sange wilayani Ileje mkoani Songwe umetajwa kukwamisha ujenzi wa nyumba ya...

Elimu

Mdhibiti ubora ashangazwa na miundombinu St Anne Marie

SHULE ya St Anne Marie Academy ya Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam imepongezwa kwa kuendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya shule...

Afya

Vigogo watatu Mbozi kikaangoni, TAMISEMI yatoa maagizo

NAIBU Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Dk Charles Mahera amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde kuwasimamisha kazi Mganga Mkuu...

ElimuTangulizi

Ufaulu kidato cha sita 2023 waongezeka

  UFAULU wa mtihani wa kidato cha sita kwa 2023, umeongezeka kwa aislimia 0.2, kutoka 98.97%(2022) Hadi 99.23% mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

ElimuHabari MchanganyikoMichezo

Ubongo yatimiza miaka 10, yawafikia makazi mil 32 Afrika, nchi 22

  KAMPUNI ya Ubongo inayozalisha vipindi vya elimu burudani Afrika, ina furaha kuwatangazia maadhimisho ya miaka 10 tangu kuanzishwa kwake, ikisherehekea muongo mmoja...

Afya

Rais Samia apongezwa uboreshaji huduma za afya Musoma Vijijini

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa mchango mkubwa wa Serikali yake katika uboreshaji huduma za afya kwenye Jimbo la Musoma Vijijini,...

Afya

Waziri Ummy afafanua madaktari bingwa kufungua ‘vioski’ hospitalini za umma

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa...

AfyaTangulizi

NHIF yafanya uhakiki wanachama, watoa huduma, wafungia vituo 48, waajiri 88

  MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umefanya uhakiki wa wanachama wa mfuko huo na kubaini mambo kadhaa na kuyachukulia hatia...

Elimu

St Mary Goreti yasifiwa kwa mchango wake katika jamii

MBUNGE wa Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro, Priscus Tarimo, ameupongeza uongozi wa shule ya sekondari ya St Maria Goreti mchangao mkubwa inayotoa katika kukuza...

Afya

Rukuba wajenga kituo cha afya, waomba watumishi

WAKAZI wa Kisiwa cha Rukuba, Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, wameiomba Wizara ya Afya na Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI, ipeleke watumishi pamoja na...

Elimu

Global Education Link yatoa fursa vyuo vya nje sabasaba

WAKALA wa Elimu Nje ya nchi Global Education Link (GEL), imeendesha zoezi la kudahili wanafunzi vyuo nje ya nchi papo hapo kwenye maonyesho...

ElimuTangulizi

Mwanafunzi kidato cha 3 ajinyonga darasani, akutwa na ujumbe wa kugomea shule

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Lumbira kata ya Luanda wilayani Mbozi mkoani Songwe,Japhari Mwashitete  (16) amekutwa amefariki dunia kwa...

Afya

NBC yaungana na Taasisi ya Benjamini Mkapa kusomesha wakunga 100

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imeungana na Taasisi ya Benjamini Mkapa kuanzisha mpango wa kutoa ufadhili wa masomo (scholaships) kwa wanafuzi wa...

Elimu

Musoma Vijijini waomba shule za kidato cha tano, sita

JIMBO la Musoma Vijjiini mkoani Mara, limeomba Serikali ianzishe shule za kidato cha tano na sita, huku likisema kuna baadhi ya shule zilizojengwa...

BiasharaElimu

Teknolojia ya kidigitali kuleta mapinduzi ya elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara   

TEKNOLOJIA za kidigitali na uunganishwaji ni ufunguo wa kuwawezesha vijana wa Afrika kuonyesha uwezo wao. Kwa kuwafungulia milango ya fursa kwa vijana wa...

Elimu

Wananchi wajitolea ujenzi shule mpya Mbozi, watoto hutembea kilomita 10

WANANCHI wa vitongoji vilivyopo katika kata ya Mlowo halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamechangia nguvu kazi kujenga shule ya sekondari Nambala...

Elimu

800 wahitimu masomo elimu ya watu wazima

JUMLA wanafunzi 800 wamehitimu masomo katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kati yao wanaume 279 sawa na asilimia 35  na wanawake...

Afya

NHIF yaita Watanzania kujisajili uanachama Sabasaba

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewahimiza wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam na waliotoka katika maeneo mbalimbali nchini kufika...

Elimu

Wanafunzi 275 watumia darasa moja kusoma, Serikali yataja mikakati

KUTOKANA na uwepo wa msongamano mkubwa wa wanafunzi katika shule ya msingi Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe uliosababisha wanafunzi 270 kusomea katika darasa...

Elimu

Tunduma waiangukia Serikali kukamilisha ujenzi sekondari ya Samia

WADAU wa elimu mkoani Songwe wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa mabweni katika shule mpya ya wasichana ya Dk. Samia S.H sekondari inayojengwa kwa...

Elimu

Tanzania inatarajia kutundika satelite kulinda nchi

KATIKA kuimarisha mifumo ya ulinzi nchini, Tanzania inatarajia kutundika satellite yake ya kwanza angani itakayotumika pia katika kuboresha huduma za mawasiliano. Anaripoti Mwandishi...

AfyaTangulizi

Wananchi Ludewa waiangukia serikali zahanati iliyotelekezwa miaka 7, Filikunjombe atajwa

WANANCHI wa kijiji cha Nsele kata ya Kilondo tarafa ya Mwambao halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, wameiomba serikali kumalizia ujenzi wa...

ElimuMichezo

Ubongo Kids sasa waja na Nuzo na Namia

UBONGO Kids waliotamba na katuni za watoto za Ubongo Kids na Akili na Me, sasa wamekuja na hadithi mpya za watoto wa Afrika...

Afya

 NMB yaunga mkono uchangiaji damu salama Morogoro, Dodoma

BENKI ya NMB imeadhimisha wiki ya uchangiaji damu salama kwa hiari baada ya kuwakusanya watumishi wa benki hiyo pamoja na wananchi katika mikoa...

Afya

NMB yatumia Sh10 milioni kusaidia vifaa vya wajawazito Korogwe

BENKI ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya kujifungulia kwa kina mama wajawazito zaidi ya 500 katika kituo cha afya cha Mombo kilichopo...

Elimu

NBC yatoa milioni 100/- kufadhili masomo ufundi stadi

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC ) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamezindua mpango rasmi wa ufadhili wa masomo...

Afya

GGML yasikia kilio cha akina mama Geita, yagawa vitanda vya kujifungulia katika vituo Nyankumbu, Kasamwa

 KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML), imetoa msaada wa vitanda vinne vya akina mama kujifungulia katika vituo vya afya vya Nyankumbu na...

Afya

GGML yaadhimisha siku ya mazingira duniani kwa kutoa elimu kuhusu taka za plastiki

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) ambayo ni moja ya migodi maarufu ya AngloGold Ashanti nchini Tanzania, imeadhimisha Siku ya Mazingira Duniani...

Elimu

Wanafunzi wa St Joseph Dar wabuni Satellite

WANAFUNZI na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph cha jijini Dar es Salaam, wamebuni Satellite ambayo hadi kukamilika kwake itagharimu Dola za...

Elimu

Serikali yatoa Sh. 573 mil. kukamilisha wa ujenzi sekondari ulioanzishwa na wanakijiji

  SERIKALI kupitia Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, imetenga Sh. 573 milioni, kwa ajili ya ujenzi wa Sekondari ya Wanyere, wilayani Musoma Vijijini,...

Afya

TEMDO yaanza kuzalisha vifaa tiba, bilioni tatu kutumika

KATIKA kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa vifaa tiba nchini, Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo ya Temdo Tanzania (TEMDO) imeanzisha karakana ya...

Elimu

CBE yaja na kozi mpya 16 zikiwemo za ujasiriamali na uvumbuzi

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kuanzia mwaka wa masomo wa 2023/2024 kimepanga kuwapa wanafunzi ujuzi na maarifa muhimu katika fani za ujasiriamali,...

Afya

Ummy Mwalimu:Umeme wa uhakika tija kwa uboreshaji huduma za afya

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amepongeza juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa...

Elimu

SUA kuhakikisha tafiti zinazofanywa zisiachwe kwenye makabati

  MRATIBU wa utafiti na machapisho katika kurugenzi ya uzamiri, utafiti wa urushaji wa teknolojia na ushauri wa kitaalam kutoka Chuo kikuu cha...

Afya

Madaktari bingwa 10 waliokuwa India warudi na shuhuda nzito kuhusu utalii tiba

MADAKTARI bingwa wa upasuaji wa ubongo wameendelea kuongezeka katika Taasisi ya Mifupa (MOI) na kufikia 16 hali ambayo imeendelea kuifanya Tanzania kuwa kivutio...

Elimu

Watakaopata Division One St Anne Marie Academy kupewa iphone ya macho matatu

Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie Academy, Dk. Jasson Rweikiza ameahidi kutoa simu ya iphone macho matatu kwa mwanafunzi wa kidato cha...

Elimu

Prof. Muhongo apinga TAMISEMI kusimamia elimu

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameshauri masuala ya elimu kusimamiwa na wizara moja badala ya wizara mbili, akisema suala hilo...

error: Content is protected !!