Maisha
BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza watahiniwa kumi bora Kitaifa katika matokeo ya kumaliza elimu ya msingi uliofanyika tarehe 7 na 8...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2020BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2020JUKWAA la wakufunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa) nchini Tanzania, limekana madai kuwa limefunga shughuli zake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2020WANAFUNZI wa shule ya Msingi Mkambarani iliyopo kata ya Mkambarani Halmashauri ya Wilaya na mkoa wa Morogoro, wanalazimika kusoma kwa kupokezana madarasa kutokana na...
By Christina HauleOctober 20, 2020SELEMAN Abdul, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Byamungu Islamic, iliyopo Kyerwa mkoani Kagera, ametetewa na Rais John Pombe Magufuli, mgombea urais wa...
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2020MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19) duniani yamefikia milioni 26.18, waliopona milioni 18.44 na waliofariki kutokana na ugonjwa huo ni 867,370. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2020WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imevitaka Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDCs) kujikita kutoa mafunzo ya fani zinazopendwa na zinazotoa...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2020WAGONJWA milioni 16.08 wamepoma virusi vya corona (COVID-19) duniani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumatatu tarehe 24 Agosti 2020, kuwa...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2020MATOKEO ya kidato cha sita ya mtihani uliofanyika Juni/Julai 2020 yametangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Masalu ErastoAugust 21, 2020BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limesema watahiniwa 82,440 sawa na asilimia 98.35 ya watahiniwa 84,212 waliofanya mtihani kidato cha sita...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2020BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania, limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuAugust 21, 2020ULISHAJI wa mtoto usio sahihi unaochangiwa na mama kuelemewa na majukumu mengi ya kazi hivyo kukosa muda wa kutosha wa kumtunza mtoto ni...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2020UAMUZI wa Zitto Kabwe, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo kugombea tena Jimbo la Kigoma Mjini, umenisukuma kugombea tena Kata ya Mwanga Kaskazini. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaJuly 22, 2020WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imewaagiza wathibiti ubora wa shule kuhakikikisha shule zote za msingi na sekondari zinakuwa na kamati...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema imefanikiwa kutimiza dhamira ya kuhakikisha upatikanaji wa uwiano wa kutosha katika utoaji huduma za afya za uhakika na wakati....
By Hamisi MgutaJuly 9, 2020SERIKALI ya Tanzania imetumia Sh. 2.3 bilioni katika mwaka wa fedha 2019/20 kununua vifaa vya kielemu na saidizi kwa ajili ya wanafunzi wenye...
By Masalu ErastoJuly 7, 2020SERIKALI ya Tanzania imetangaza kufuta saa 2 za nyongeza za masomo zilizokuwa zinafundishwa kila siku. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa iliyotolewa jana...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2020NAIBU Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel ameipongeza hospitali ya CCBRT kwa utendaji kazi mzuri licha ya kuwepo changamoto zinawaikabili hospitali hiyo. Anaripoti...
By Hamisi MgutaJuly 1, 2020WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amekagua miradi ya elimu inayotekelezwa katika Halmashauri ya Kasulu mkoani Kigoma yenye...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2020WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amezindua Chuo cha Ufundi Stadi Nyamidaho kilichopo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma....
By Mwandishi WetuJune 30, 2020SERIKALI ya Tanzania imetoa mwongozo wa namna wanafunzi na walimu wa shule za msingi na sekondari, watakavyokabiliana na ugonjwa wa homa kali ya...
By Regina MkondeJune 29, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, ada za shule nchini humo zilipwe kulingana na makubaliano yaliyofikiwa mwanzoni mwa mwaka wa masomo 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJune 26, 2020SERIKALI ya Tanzania imepata Sh. 780 milioni kwa ajili ya kujenga kliniki ya huduma za methadone kwa waathirika wa dawa za kulevya mkoani...
By Hamisi MgutaJune 25, 2020WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa jijini Dodoma, kuhakikisha miundombinu ya chuo hicho...
By Mwandishi WetuJune 20, 2020WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema, Serikali imerudisha huduma za kawaida katika Hospitali ya Rufaa ya...
By Hamisi MgutaJune 19, 2020SERIKALI ya Tanzania, imetumia zaidi ya Sh. 800 milioni kukarabati Chuo cha Ualimu Bustani kilichopo Kondoa mkoani Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Hayo yamebainishwa...
By Mwandishi WetuJune 18, 2020PROFESA Joyce Ndalichako, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia ametangaza ratiba ya mitihani ya kumaliza shule kwa wanafunzi wa shule za msingi na...
By Mwandishi WetuJune 17, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kwa sasa yamepungua na...
By Mwandishi WetuJune 15, 2020DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania amesema, atamwandikia barua Kristalina Georgieva, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha za Kimatiafa (IMF ), kwa ajili...
By Regina MkondeJune 11, 2020RITTA Kabati, Mbunge Viti Maalumu mkoani Iringa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ameiomba Serikali kuwapunguzia gharama za matibabu wagonjwa wa saratani na figo....
By Mwandishi WetuJune 11, 2020SERIKALI ya Tanzania imetoa mwenendo juu ya hali ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19)....
By Mwandishi WetuJune 10, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu...
By Mwandishi MaalumJune 8, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewawataka viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), wanaotarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, kuja na mipango madhubuti ya kukiimarisha...
By Regina MkondeJune 5, 2020SIKU ya miguu kifundo au nyayo za kupinda ulimwenguni huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Tarehe hii ilitokana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa...
By Mwandishi WetuJune 3, 2020BODI ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania, imetoa fedha za mikopo zaidi ya Sh. 100 bilioni, kwa wanafunzi...
By Regina MkondeMay 29, 2020TAKWIMU za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni...
By Masalu ErastoMay 28, 2020JAKAYA Kikwete, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, amewakaribisha wanafunzi wa chuo hicho kuendelea na masomo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako, amekemea shule na vyuo nchini humo, kutumia janga la corona kama kitega...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150...
By Hamisi MgutaMay 27, 2020CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kubwa ya ugonjwa wa COVID-19 hasa kipindi hiki ambacho wanafunzi wa vyuo na...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imetangaza kuregeza baadhi ya mambo wakati huu wa mapambano ya ugonjwa wa COVID-19 ikiwemo, kufungua shule kwa...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa COVID-19 ambao umeanza kupungua nchini humo. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMay 24, 2020WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imevitaka vyuo vikuu nchini humo kujiandaa kikamilifu ili kukamilisha mitaala pindi vyuo vitakapofungiliwa tarehe 1...
By Mwandishi WetuMay 23, 2020WAZIRI wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu amesema Wanawake wenye matatizo ya Fistula wanatakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake waende kupata...
By Hamisi MgutaMay 23, 2020SERIKALI ya Tanzania imeanzisha maabara mpya ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeMay 23, 2020BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) nchini Tanzania, limetoa ratiba ya mitihani ya kidato cha sita na Ualimu mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amesema, mitihani ya kidato cha sita mwaka 2020 itaanza Juni 29 hadi...
By Mwandishi WetuMay 22, 2020WAKATI Serikali ya Tanzania ikinadi kupungua kwa maambukizo mapya ya virusi vya corona, Shirika la Afya Duniani (WHO), limeeleza dunia kufikia rekodi ya...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba (SSC) wamekabidhi vituo vya kuosha mikono, sabuni pamoja...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kufunguliwa kwa vyuo vyote nchini, michezo ya aina yote pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita kuanzia...
By Mwandishi WetuMay 21, 2020