Maisha
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amepiga marufuku utaratibu wa kuwauzia kadi za kliniki wajawazito....
By Mwandishi WetuApril 28, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, itaanzisha mashindano ya uandishi wa Insha kuhusu masuala ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ili kuwawezesha vijana kufahamu...
By Mwandishi WetuApril 26, 2021SERIKALI imetenga Sh.57 Bilioni kwa ajili ya ukamilishaji wa miundombinu ya Hospitali za Rufaa za Mikoa, ikiwemo ya Mawenzi, mkoani Kilimanjaro. Anaripoti...
By Masalu ErastoApril 23, 2021SERIKALI imetenga Sh. 14 Bilioni kwa ajili ya kuanza ujenzi wa hospitali mpya 28, ikiwepo Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga...
By Masalu ErastoApril 21, 2021HALIMASHAURI ya Wilaya ya Biharamulo, Kagera ilipatiwa kiasi cha Sh. 500 Milioni katika mwaka wa fedha 2019\20 kwa ajili ya kuanza ujenzi...
By Masalu ErastoApril 20, 2021SERIKALI ya Tanzania inaendelea na ukarabati wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi, unaogharimu Sh. 605.2 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 20, 2021KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania amesema, ujuzi wa vijana utaangaliwa zaidi badala ya kuangalia viwango vya elimu yao. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 17, 2021CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimegomea uanzishwaji wa Bodi ya Kitaaluma ya Walimu kwa madai, imelenga kumkandamiza mwalimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageApril 13, 2021WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewashukuru na kuwapongeza wasanii wote nchini waliojitoa kutunga nyimbo mbali mbali za...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2021TUZO kubwa ulimwenguni, zinazotolewa nchini Marekani maarufu ‘Grammy,’ zimeshuhudia gwiji wa muziki, Beyonce akiweka rekodi kwa kushinda na kufikisha tuzo 28 tangu...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahimiza Watanzania kula lishe bora. Anaripoti Mwandishi Wetu, Katavi…(endelea)....
By Mwandishi WetuMarch 13, 2021SHULE ya Sekondari ya Kome, iliyopo Buchosa, Wilaya ya Sengerema, Mkoani Mwanza, iliyokuwa ikishika nafasi ya mwisho kwa matokeo mabovu ya katika...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imewataka wananchi kufichua vitendo vya rushwa ya ngono wanavyokutana navyo. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeMarch 8, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Tanzania, kupima na kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Hamisi MgutaMarch 5, 2021UCHUNGUZI wa tathmini ya uwepo wa thamani ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021HOSPITALI ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam (MNH), imefunga mashine nne za kutoa dawa kwa njia ya mvuke ili kusaidia wagonjwa...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2021KUPIMA virusi vya corona (COVID-19), visiwani Zanzibar sasa ni Dola za Marekani 80 (zaidi ya Sh.180,00), badala ya Sh.30,000 za awali. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2021DAKTARI Dorothy Gwajima, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania amesema, matamko kuhusu magonjwa ya kuambukiza ikiwemo...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2021BENKI ya Exim imetoa Sh.10 milioni kwa taasisi ya Asma Mwinyi Foundation (AMF), kwa ajili ya kuwezesha ununuzi wa vifaa vya ujenzi...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2021WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Mpowora, Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, wameiomba Serikali kuwajengea madarasa kwani yaliyopo ni mabovu na yanahatarisha...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2021BWANAHERI Akili, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Namalombe iliyopo Nanyumbu mkoani Mtwara, ameiomba serikali kujenga madarasa mengine katika shule yake kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2021WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza mambo manane yanayoweza kumsaidia Mtanzania kujilinda na magonjwa ya kuambukizwa ikiwemo...
By Masalu ErastoFebruary 21, 2021HALIDI Mchanga, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naliendele, amesimamishwa kazi kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula katika...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2021SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limeitaka serikali ya Tanzania kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya Covid 19, ili kuwezesha kujulikana idadi...
By Masalu ErastoFebruary 21, 2021RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kujihadhari na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ametoa wito...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2021HAYAWI hayawi sasa yamekuwa, Francis Ciza maarufu Majizo na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamefunga ndoa. Anaripoti Matrida Peter, Dar es Salaam..(endelea) Majizo ambaye...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021CHAMA cha Madaktari nchini (MAT), kimewataka wananchi kuwa makini kutokana na ongezeko la wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali itajenga shule mpya 1,026 ambapo kati ya hizo, shule 26 zitakuwa za bweni zenye...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2021HATUA ya Profesa Elifas Bisanda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), kutoa waraka wa tahadhari ya maambukizi ya corona, imemuingiza matatani...
By Masalu ErastoFebruary 11, 2021WARAKA kuhusu tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), uliotolewa na Profesa Elifas Bisanda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania...
By Regina MkondeFebruary 10, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshtushwa na gharama kubwa za mashine za kusaidia upumuaji kwa watu wenye tatizo hilo, zinazotolewa...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2021SHIRIKA la Afya duniani (WHO), limeiondoa Tanzania na Burundi katika orodha ya nchi za Afrika Mashariki zikazopewa chanjo ya virusi vya corona...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2021UPUNGUFU wa madawati katika baadhi ya Shule za Msingi na Sekondari nchini, umekuwa ni tatizo sugu. Je, serikali inachukua hatua gani endelevu za...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2021KASI ya kuenea kwa virusi vya corona (COVID-19) nchini Ureno, inatikisa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa… (endelea). Serikali ya Ureno baada ya kuona...
By Kelvin MwaipunguFebruary 1, 2021WAZIRI Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Seleman Jaffo ametangaza msimu wa tatu wa kujifukiza nyungu, ili kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza madaktari wanaopangiwa ajira katika hospitali za umma kisha wanakimbilia kwenye hospitali binafsi kwa kigezo cha masilahi...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imetaka wananchi wanaokabiliwa na vitendo vya kikatili kwenye familia/nyumba zao, kuwasiliana na maofisa wa wizara hiyo moja...
By Masalu ErastoJanuary 29, 2021MKANG’ANYIKO wa taarifa juu ya virusi hatari vya corona (Covid-19), nchini Tanzania, unazidi kuwaweka wananchi njia panda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2021RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli amesema serikali yake itaendelea kuboresha sekta ya afya ili wananchi wapate huduma bora za afya. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2021BARAZA la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limetoa tahadhari kwa wananchi kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona na ugonjwa wa...
By Saed KubeneaJanuary 26, 2021SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeeleza kuumizwa na hatua ya askari wa ulinzi (SUMA – JKT)...
By Danson KaijageJanuary 24, 2021WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Dk. Dorothy Gwajima, amewasimamisha watumishi watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe jijini Mwanza, kupisha uchunguzi wa...
By Danson KaijageJanuary 19, 2021BARAZA Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya mthani wa kidato cha nne, uliofanyika mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Masalu ErastoJanuary 15, 2021BARAZA Mitihani la Tanzania (Necta), limefuta matokeo yote ya watahiniwa 215, waliofanya udanganyifu katika mitihani yao ya Taifa mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJanuary 15, 2021NAIBU Waziri Ofisi ya Rais- Tamisemi, David Silinde amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Korona Jiji la Arusha, Kashinde Mandari kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la nne uliofanyika 2020. MATOKEO YA DARASA LA NNE HAYA HAPA
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya kidato cha nne uliofanyika Novemba 2020. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya kidato cha pili uliofanyika tarehe 23 Novemba hadi 11 Desemba 2020. MATOKEO YA KIDATO...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amewasimamisha kazi maafisa wanne wa Chuo cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA)...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2021WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amemwagiza Mwenyekiti wa Bodi ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Peter Maduki kuunda...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2021