JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) na Klabu ya Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC), wameazimia kumnyima Paul Makonda, Mkuu...
By Pendo OmaryMarch 22, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki ameibuka na ushindi katika nafasi ya urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) huku...
By Charles WilliamMarch 18, 2017HAKUNA marefu yasiyo na ncha. Hatimaye vuta nikuvute ya uchaguzi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), imehitimishwa leo asubuhi kwa mawakili kupiga...
By Charles WilliamMarch 18, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameachiwa kwa dhamana ya Sh. 10 milioni na moja kwa moja anaenda Arusha kwenye uchaguzi wa Chama...
By Faki SosiMarch 17, 2017WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) na hivyo...
By Saed KubeneaMarch 15, 2017ZAIDI ya Familia 28 zilizopo katika kijiji cha Milengwelengwe Kata ya Mngazi Tarafa ya Bwakira chini wilayani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada...
By Christina HauleMarch 15, 2017WAKILI Victoria Mandari, ambaye ni miongoni mwa wagombea wa Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amesema anaamini wagombea wa nafasi hiyo ambao...
By Charles WilliamMarch 15, 2017MAWAKILI wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) kimeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania kutupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kanuni za uchaguzi iliyofunguliwa...
By Faki SosiMarch 15, 2017WAKULIMA nchini wamesisitizwa kununua mbegu kwenye maduka yaliyosajiliwa huku wakihakikisha ubora wa mbegu wanazonunua kwa kuwa na lebo ya TOSCI ili kuweza kupanda...
By Christina HauleMarch 14, 2017WANANCHI wamewataka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), pamoja na Wizara ya Elimu Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, wabuni njia mbadala...
By Faki SosiMarch 11, 2017MTU aliyetambulika kwa jina moja la Salum, amesababisha shughuli mbalimbali kusimama katika eneo la maduka yaliyopo pembeni ya kituo cha mabasi cha Makumbusho...
By Charles WilliamMarch 10, 2017SHIRIKA lisilo la kiserikali la Raleigh International lenye makao makuu yake nchini Uingereza, linaendelea na kampeni yake ya utunzaji wa mazingira ukiwemo mpango...
By Charles WilliamMarch 10, 2017OPERESHENI ya kukamata pombe ambazo hufungwa katika vifuko maalum maarufu kama viroba, imeendelea kushika kasi mkoani Morogoro ambapo sasa jeshi la polisi limewakamata...
By Christina HauleMarch 10, 2017FESTO Msalia mfanyabiashara wa vinywaji mkoani Dodoma amejiua kwa kujipiga riasasi kichwani kwa madai kuwa ameumizwa na kitendo cha Jeshi la Polisi Mkoa...
By Charles WilliamMarch 8, 2017VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa pamoja na watu mashuhuri hapa nchini akiwemo Rais John Magufuli, wametoa salamu za kuwatakiwa heri wanawake katika kilele cha...
By Pendo OmaryMarch 8, 2017REGINA Chonjo, Mkuu wa wilaya ya Morogoro amewataka wanawake nchini kutoa ushirikiano katika kufichua wanaohusika na biashara ya dawa ya kulevya ili kurahisisha...
By Christina HauleMarch 8, 2017NURU Khalfan Kikwete, mama mlezi wa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefariki dunia mapema hii...
By Pendo OmaryMarch 7, 2017WANAKIJIJI wa kijiji cha Mtipule kilichopo kata ya Msongozi wilayani Mvomero mkoani hapa wameyatelekeza mashamba yao kwa takribani miaka minne mfululizo wakihofia kuvamia...
By Christina HauleMarch 6, 2017HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa inatarajia kuwafikisha mahakamani watu 21 wanaodaiwa kujichukulia sheria mikononi na kujimilikisha hekari 66 za kijiji na kujenga nyumba...
By Christina HauleMarch 6, 2017WAENDESHA pikipiki ‘bodaboda’ jijini Dar es Salaam, wamepinga ushauri wa Kamanda wa Kanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro,...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2017FRANCIS Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, ameamuru Eladislaus mwalimu wa shule ya msingi ya Uhuru, awekwe rumande kwa muda usiofahamika...
By Moses MsetiMarch 3, 2017MUDA mchache baada ya kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya kukamatwa kwa Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na...
By Charles WilliamMarch 3, 2017WEMA Sepetu na wenzake wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashitaka matatu yanayohusiana na matumizi ya dawa za...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2017SIKU moja baada ya Paul Makonda kumtaja Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kuwa ni miongoni mwa watu 65 wanaoshukiwa...
By Charles WilliamFebruary 9, 2017PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amezindua awamu ya pili ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya ikiwa ni muendelezo...
By Charles WilliamFebruary 8, 2017WEMA Sepetu, msanii wa filamu na mshindi wa taji la Miss Tanzania 2006 leo ameshindwa kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo, anaandika Kelvin...
By Masalu ErastoFebruary 7, 2017RICHARD Kapinye, diwani wa kata ya Kibaigwa na Mwenyekiti wa kamati ya uchumi, ujenzi na mazingira ya halmashauri ya Wilaya ya Kongwa ameiomba...
By Danson KaijageFebruary 6, 2017WATU wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameiteketeza kwa moto nyumba ya Bakari Msanga, mwenyekiti wa kijiji cha Jaribu Mpakani wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani,...
By Faki SosiFebruary 5, 2017SIKU mbili baada ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaja majina ya wasanii na askari wanaotuhumiwa kuhusika na utumiaji...
By Hamisi MgutaFebruary 4, 2017RAIS mpya wa Marekani, Donald Trump ametajwa kwenye Msikiti wa Mtambani, Kinondoni leo kama kiongozi aliyetangaza vita dhidi ya Uislam na Waislam, anaandika...
By Masalu ErastoFebruary 3, 2017WEMA Sepetu amefika. Babuu wa Kitaa amefika. Khalid Mohamed (TID) amefika. Hamidu Chambuso (Nyandu tozi) naye amefika. Ni wasanii walioepuka ‘kiaina’ mgogoro mkubwa...
By Pendo OmaryFebruary 3, 2017MUSTAFA Rajabu Sheikh wa Mkoa wa Dodoma na Kadhi wa Mkoa huo amewaasa Watanzania kutotumia nafaka kama mahindi na mtama kwaajili ya kutengeneza...
By Danson KaijageFebruary 3, 2017TAMKO la Paul Makonda Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam kuwataka watu mbalimbali wanaotuhumiwa kujihusisha biashara au matumizi ya dawa za kulevya kujisalimisha...
By Faki SosiFebruary 3, 2017PAUL Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameutaja mtandao wa wauzaji wa dawa za kulevya hapa jijini huku miongoni mwao, yakiwemo...
By Charles WilliamFebruary 2, 2017SERIKALI imeendelea ‘kulibana mbavu’ gazeti la kila wiki la habari za kiuchunguzi – MwanaHALISI kwa kuliagiza kuchapisha taarifa ya kumuomba radhi Rais John...
By Charles WilliamFebruary 1, 2017UONGOZI wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), inayochapisha gazeti la MwanaHALISI, umemuomba radhi Rais Dk. John Magufuli, anaandika Faki Sosi. Hatua...
By Faki SosiJanuary 31, 2017WAUMINI sita wa Dini ya Kiislam nchini Canada, wamefariki dunia na wanane kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi katika msikiti wa Quebec usiku wa...
By Hamisi MgutaJanuary 30, 2017MATOPE, magome ya miti pia maji machafu ndivyo vilikuwa vyakula vikuu katika siku tano tulizoishi chini ya kifusi huku hofu ya kupoteza maisha...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2017TUHUMA kuwa Shule za Feza zilizopo hapa nchini zinamilikiwa na watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi nchini Uturuki na kwamba zinapaswa kufutwa, zinaweza...
By Charles WilliamJanuary 27, 2017UZALISHAJI wa Samaki katika Kiwanda cha Tanzania Fish Processors Limited (TFP), jijini Mwanza, kinachojihusisha na uchakataji wa minofu ya samaki aina ya Sangara umeshuka...
By Moses MsetiJanuary 23, 2017MOHAMMED Dewji, Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), ametangazwa na Jarida la African Leadership kuwa mshindi...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2017WASAFIRISHAJI wa fedha wametakiwa kuwa na usiri katika michakato yote inayohusiana na usafirishaji wa fedha ili kuepuka matukio ya kuvamiwa na majambazi, anaandika...
By Pendo OmaryJanuary 20, 2017TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuwa uchaguzi wa marudio wa Zanzibar haukuwa uchaguzi halali kisheria,...
By Faki SosiJanuary 19, 2017MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imehairisha usikilizwaji wa awali wa kesi ya uchochozi inayowakabili wahariri wa gazeti la Mawio, mbunge...
By Faki SosiJanuary 18, 2017RAIA watatu wa China wamefikishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jiji Dar es Salaam kwa tuhuma za kusafirisha meno ya tembo...
By Faki SosiJanuary 17, 2017KILIO cha uhaba wa chakula katika mikoa mbalimbali hapa nchini, kutokana na ukame kimelifikia kanisa Katoliki na sasa limeagiza maombi mazito yaanze ili...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2017JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewataka wafanyabiashara kuacha kuuza silaha kama mapanga, majambia, visu, manati na upinde bila utaratibu...
By Pendo OmaryJanuary 13, 2017CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) kimesema hakitamvumilia kiongozi yoyote wa kisiasa ambaye ambaye atafanya unyanyasaji dhidi ya watumishi wa umma,...
By Danson KaijageJanuary 13, 2017SHEHENA ya samaki aina ya Sangara tani tatu zenye thamani ya Sh. 19 milioni imekamatwa jijini Mwanza baada ya maofisa wa uvuvi kuanza...
By Moses MsetiJanuary 12, 2017ELIBARIKI Kingu, Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi anatuhumiwa kuchochea kuongezeka kwa vitendo vya uvamizi katika msitu wa hifadhi wa Minyughe, wilayani Ikungi,...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2017